Uongo mwingine wa lukuvi huu hapa.

Uongo mwingine wa lukuvi huu hapa.

J. Mtatiro, sio Lukuvi pekee yake, hata Kikwete pia ni muongo. Kwa sasa tanzania hatuna viongozi bali tuna genge la wahuni linaloongoza nchi likisaidiana na mamluki wa nje kuiba rasilimali zetu. Kila siku wanasaini mikataba ya kijinga na kupitisha sheria za kipumbavu huko Dodoma
 
Usiwaamini wanasiasa hata wawe wa upinzani hapo mtatiro unajikosha tu.
 
Habari ya safari Mtatiro J,kiukweli leo umeshuka sana thamani yako kisiasa hasa kipindi hiki cha kuandika katiba mpya,pale Lukuvi alipokutaja wewe na chama chako cha CUF kwamba ndio ulipeleka maandishi na ukayasaini kwa niaba ya cuf kuvunjwa kwa tume ya Warioba baada ya rasimu ya 2.
Mtatiro kumbe mnawasaliti watanzania?kama kauli ya Lukuvi unaipinga,basi thibitisha pasipo mashaka kwamba Lukuvi ndo amelidanganya bunge na watanzania.otherwise nyinyi ni maccm B
 
Bado bangi hazijawatoka?
 
Ujinga mtupu! Chadema walipokataa kuhudhuria ule mkutano wa wanafiki TCD wajinga wachache wasioona zaidi ya pua zao zinapoishia walibeza. Kumbe huu ndio aina ya ujinga mnaoenda kulishana yamini na magamba! Wazandiki na wanafiki wakubwa!
 
...

Mimi na Mnyika tuliongoza TC ya vyama, ...

Tafadhali usijaribu kumtaja Kamanda Mnyika kwenye ujinga wenu (CUF) na magamba. Wanafiki wakubwa ninyi, wakati wengine wanapigana taifa letu lisonge mbele angalau kwa kupata Katiba bora; kuna washenzi wachache ndani ya mwamvuli wa "upinzani" mnajaribu kurudisha juhudi hizo nyuma. Umetuboa sana na CUF yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom