olele
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 1,305
- 1,574
Toka nikiwa mdogo nilikua naona matangazo kwenye TV zile "mashine za kunyolea mdevu" japo sio mashine, (sheva) maarufu sana ni brand ya Gillete, wanatangaza ni kwa ajili ya kunyolea ndevu, na niliamini kabisa ni kwa ajili ya kunyolea ndevu.
Sasa nimeshangaa nimekua mkubwa na ndevu ninazo lakini situmii kunyolea ndevu, na kumbe sio mimi peke yangu ambaye situmii kunyolea ndevu, WANAUME wote tunanyolea ndevu saloon, ajabu hata wanawake wanazinunua lakini hawana ndevu.
Na yale matangazo bado nayaona tu na yanazidi kuwa maarufu. Mashine hazinyolei ndevu lakini zinazidi kutangazwa na kuwa maarufu kuwa zinanyoa ndevu.
Nachosikitika kuwa hata wazungu kumbe ni waongo kiasi hiki.
Naombeni msaada jamani, hizi mashine za kunyoa ndevu lakini hazinyoi ndevu ni za nini.