Uongo mkubwa kabisa kuwahi kuushuhudia

Uongo mkubwa kabisa kuwahi kuushuhudia

Labda ulaya hakuna saloon za kiume. Pia kama zipo ji gharama wengi hunyolea nyumbani.
Wazungu walikua hawapendi ndevu miaka hiyo.
Naona hili tangazo walengwa hatukuwa waAfrika tunaokaa Afrika.
 
Kwangu uongo mkubwa kabisa ni kuniambia DUNIA NI DUARA wakati hii ni Flat earth.
::Naomba nisiwe chanzo cha mabishano.
 
Raisi yupo salama na anafanya kazi, anawasalimia. PM mskitini Njombe siku ya Ijumaa
 
Back
Top Bottom