Uongo gani uliwahi mdanganya mpenzi wako akakubali, ukajiona umeponea chupu chupu?

we
Wenzangu habari bwana,
Mapenzi mapenzii yanahitaji ubunifu Na ujanja, kwanza ukitaka kuya mantain mapenzi yako uwe muongo yaan si uongo mbaya hapana ule wa kukuokoa mazingira uliyobanwa Na mwenzako anapohisi sintofahamu.

Sasa bwana mimi nimedanganya sanaaa Na nika win Sijawahi kamatwa, au shutukiwa.

Nikiwa shule ya sekondari makongo nilikipata kidemu Cha IFM nikakidanganya nami niko chuo, kumbe niko zangu form 5, sasa akapanga aje kunitembelea chuoni duhhh sasa hapo.

Nikabeba kitabu Cha michoro michoro nikaenda kwenye vimbweta vya ardhi university (UCLAS) kipindi hicho, nikamsubiri nje pale akaja tukapiga stori hadi noma, akaondoka, lakin safari zake nyingi zikawa mlimani city, nikapanga siku akiniona natoka Makongo nasema nafundisha tuition kule, sema huyu alitaka hela sana siku za boom lao ananiomba hela wakati mimi sina, nikamwambia nasomesha wadogo zangu, Ila tuliachana.

Mwingine sasa duh Alikuwa classic sana kipindi nimemaliza chuo sina kazi, si unajua wanaume hatutati kujishusha? Nikamualika aje sehem tupate kinywaji, kabeba na ndugu Zake watatu wakati sina hela ya kutosha wakaanza kuagiza Na katimu kake ka basketball, nikamwambia baby nisubirie niweke simu chaji naja, dah ninaenda kibandani nikaiweka rehani bwana wakaniongezea 40,000 maana ilikuwa NOKIA N70, nikaja nikalipa nikajiona mjanja kumbe natoboa mfuko.

Ya tatu hiiiii akataka aje napopanga mabonde kwinama, ilibidi niende kuazima room kwa mshikaji, alafu nikajifanya kila kitu najua kilivyo pale, akataka kupika akaanza kuuliza vitu sasa heheeee duh mpaka nitume mesej kwa alonipa room anielekeze, Ila nika win.

Ushauri kwa madada Na makaka

Kwanza mapenzi ya kupretend ni waswas utatoboka mpaka baasi.

Wadada pia ninyi mnadanganywa sana japo nanyi hamjambo sana,

Je wewe umekumbuka uliwahi kumdanganyaje wa kwako?

Tuambie tujue hapaa

Wewe una degree ya uzamivu kwenye kutunga uongo. Nimekukubali aisee
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Siku moja mademu wawili wakajikuta wamegongana kwangu. Mmoja yupo chumbani nimemaliza kumdinya. Mwingine huyo sitting room. Mlango nimefunga. Nikamtambua. Ni mtata namjua. Niliyenaye room ni mpya ambaye nataka ampindue huyo, sababu ya ukorofi wake. Lakini sitaki waonane. Akili ikawaza na kupata majibu. Nikamtext rafiki yangu anipigie simu. Simu ikaita. Nikaipokea na kuanza kuongea ila nikaikata. Nikaongea kambo ya Ofsn kwamba kuna ajali ya moto. Nikavaa haraka. Nikatoka room na ufunguo, nikafunga mlango. Nikampitia huyo mbio mbio tukaondoka wote. Nikamwambia ajali ya moto. Panda usafiri huo nikitoka nitakutafuta. Hahaha

Ameondoka tu, nikaenda kwenye grocery nikapata soda. Baada ya saa nzima nikarudi kumwangalia nilimfungia ndani.

Nikafika kuomba radhi kwamba kutokana na kiwewe nikakufungia ndani. Kumbe hakusikia kabisa mtu aliyekuwa sebuleni. Nikapona kwa uongo huo.

Uongo ni mwingi sana ninafanya mm na sijakamatwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Agiza pepsi nyingine ntalipa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani BINTI ni wa 92 umri wake mimi wa 79 sasa nilipokuwa namtongoza nikaona KIGEZO NI UMRI....nikajishusha umri wng hadi 89....ikawa nina kazi ya kunyoa ndevu na kichwani MVI zisionekane... Unajuwa mimi kwa muonekano unaweza ukadhani ni wa 89 ...naonekana too young..hadi nikwambiye UMRI WNG HALISI....ndy nashangaa siku hyo kaja home ..kulala nikaona FRESH TU... asubuhi nikamwacha KWENYE MJENGO nikaenda town.. Kumbe ilikuwa ni JANJA YAKE ANIPEKUWE.... narudi nimekuta sitting room na passport ipo juu ya meza... Na ID zangu zote za uraia na KUPIGA KURA. ...ilibidi nizuge NIMEWEKA UMRI MKUBWA KWA PASPORT ili NIONEKANE MKUBWA... maana kuna BAADHI YA INCHI umri ukiwa na umri MDOGO KUPATA VISA inasumbuwa...NA KANIELEWA..TU...pia namzuga na maneno matamu...kwamba MUME BORA LAZIMA AKUZIDI umri...kidogo... Tangia siku hyo NAKUWA MAKINI SN KTK uongo wng...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu agiza balimi hapo..! Mwambie kaunta nitalipa nikilipwa pesa yangu ya Noah..!

Hahaaa mkuu, umenifrahisha sana. Na salute kwako
 
Miaka Mingi saana iliyopita nafukuzia kademu Fulani hivi kila siku kanabana "mchezo" sasa siku ya siku nikapretend naumwa akaja geto.miss
Baada ya stori nyingi nikajifanya nimepata nafuu nikaanza kuforce game.

Like one hour hivi bado hataki kutoa. Katika zile purukushani akanigonga kifuani Nikajifanya nimepandwa na presha na kulegea just like nimekufa. Akaogopa saana. Akanza kunipepea na kulia akiogopa. Akaanza kuongea kila aina ya maneno nipo tuu namsikilizia. Mwisho akasema nikipona atanipa......nikajifanya naanza kupumua taaratibu huku natoa vivazi vyake....kuja kunistukia nishamaliza mambo.
Duuuhh papachu sio za mchezo mpaka una pretend kufa.. Hahaaaaa
 
Nyambafuu hiii madem wanatumia sana asa wa vyuo mara ya kwanza nlipigwa saundi nkajaa mtoto wa town afu kalikuwa kabashite tyu flan alloo last week eti katoto ka mwalimu Nyerere uni kanataka kuniingiza town arifu nlicheka afu nkakatega twende regency tukapime nafurai sana nipate kajembe changuu aroo nlimkata stimu saizi anasema ooh ilikuwa kumbe maleria zile dalili

sent from my iPhone 6
Hahahahaha... hapo ulipatia eti dalili za mimba? na hapo baadae ungesikia nina UTI
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Yaani BINTI ni wa 92 umri wake mimi wa 79 sasa nilipokuwa namtongoza nikaona KIGEZO NI UMRI....nikajishusha umri wng hadi 89....ikawa nina kazi ya kunyoa ndevu na kichwani MVI zisionekane... Unajuwa mimi kwa muonekano unaweza ukadhani ni wa 89 ...naonekana too young..hadi nikwambiye UMRI WNG HALISI....ndy nashangaa siku hyo kaja home ..kulala nikaona FRESH TU... asubuhi nikamwacha KWENYE MJENGO nikaenda town.. Kumbe ilikuwa ni JANJA YAKE ANIPEKUWE.... narudi nimekuta sitting room na passport ipo juu ya meza... Na ID zangu zote za uraia na KUPIGA KURA. ...ilibidi nizuge NIMEWEKA UMRI MKUBWA KWA PASPORT ili NIONEKANE MKUBWA... maana kuna BAADHI YA INCHI umri ukiwa na umri MDOGO KUPATA VISA inasumbuwa...NA KANIELEWA..TU...pia namzuga na maneno matamu...kwamba MUME BORA LAZIMA AKUZIDI umri...kidogo... Tangia siku hyo NAKUWA MAKINI SN KTK uongo wng...

Sent using Jamii Forums mobile app
Haahaaa.... popote ulipo, wakupe bia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi sijapata kazi nilimdanganya nafanya kazi bank akataka aje kazini ayeyeyeye msala sasa ,nimemwambia njoo mida ya lunch , nami nikajisogeza karibu Na bank moja hapo town nimepiga Tai, nikampeleka lunch, baada ya kumla vyombo sikuwa Na wasi wasi tena maana mi kwa bed noma
Sasa hyo ya lunch ulipata wap na kaz huna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyambafuu hiii madem wanatumia sana asa wa vyuo mara ya kwanza nlipigwa saundi nkajaa mtoto wa town afu kalikuwa kabashite tyu flan alloo last week eti katoto ka mwalimu Nyerere uni kanataka kuniingiza town arifu nlicheka afu nkakatega twende regency tukapime nafurai sana nipate kajembe changuu aroo nlimkata stimu saizi anasema ooh ilikuwa kumbe maleria zile dalili

sent from my iPhone 6
Aiseeee uliuwa hiyo nimeipenda sana!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom