East
JF-Expert Member
- May 9, 2022
- 603
- 1,725
Uwongo kwao wanaita swaga ila wanajua umewadanganya kwa asilimia chache, ila ukiingea ukweli inakuwa Kama unawaboa hivi. Kifupi kwao uwongo ndio ukweli na kinyume chake.Unaanzaje sasa![]()
Uwongo kwao wanaita swaga ila wanajua umewadanganya kwa asilimia chache, ila ukiingea ukweli inakuwa Kama unawaboa hivi. Kifupi kwao uwongo ndio ukweli na kinyume chake.Unaanzaje sasa![]()
naenda kushona kaunda suti na kuchongesha funguo ya gari.



mzigo mzito huoMkuu hapa hawajawah kuruka yan mpaka mama mchungaj atatoa nambaNimenunua bia nyingiiii.. zipo juu ya meza.. mkononi nina Xs Max sijaweka kava inawaka balaa.. na ni mjamaa mmoja mtanashati sana.
Nishachukua namba nyingi sana kwa mtindo huu sehemu za starehe. Na najua mipango mingi. Guuuuy. I am smart and intelligent kwenye maongezi yangu. Mwanamke hapindui.
Hizo ndo zipo hot sasa?Za watoto wa o level
Nikiazima na IST kwa wadau lazima wanasemzigo mzito huo
Tulia tu na usafiri wako wa miguu,nenda zako mwenge pisi zimejaa kibao.nikiazima na IST kwa wadau lazima wanase
Wengi wao ni wapita njia,wanakula na kuacha.Anaedanganya ndie anaeumia,,,
Ukiendelea sura ya pili, aya ya nne "Nitakujengea gari........".waongo 1:1 "nakupenda sana"
Lazima uumize kichwa,, haijalishi unapita ama unaweka makaoWengi wao ni wapita njia,wanakula na kuacha.
waongo 1:1 "nakupenda sana"
😂😂😂😂Ukiendelea sura ya pili, aya ya nne "Nitakujengea gari........".
Sasa huyo mmoja akifa inakuajeUnasapoti ujinga.

Huo ndio ukweli ifikie kipindi wanawake wakubaliane na hiliNature ya dume ni polgamism
AmeenNamchukia kiumbe muongo
Nikigundua nimedanganywa Kivyovyote naumia mbaya
Wapo wanaume wa kweli na Mungu awabariki na awazidishie ufahamu na kujitambua.


.
