D Denicedion Member Joined Jan 11, 2015 Posts 33 Reaction score 7 Feb 23, 2015 #1 Ebu niandikie hii sentesi kwa wingi 'MSHABIKI WA TIMU YA CHELSEA ANA MKE
B BUSTER JF-Expert Member Joined Jan 20, 2015 Posts 254 Reaction score 67 Feb 23, 2015 #2 Mashabiki wa timu ya chelsea tuna wake zetu (hatutaki mchepuko) kbabako
Msitari wa pambizo JF-Expert Member Joined Sep 25, 2014 Posts 3,098 Reaction score 5,466 Mar 1, 2015 #3 tuna wake tena wake zetu ni mashabiki wa man u na arsenal
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,928 Reaction score 30,075 Mar 1, 2015 #4 Mashabiki wa chelsea wana wake
007 De Souza JF-Expert Member Joined Feb 19, 2015 Posts 901 Reaction score 486 Mar 1, 2015 #5 Student Teacher said: tuna wake tena wake zetu ni mashabiki wa man u na arsenal Click to expand... hahaha. mkuu mm vimke vyangu ni vishabiki vya woman united(manure)
Student Teacher said: tuna wake tena wake zetu ni mashabiki wa man u na arsenal Click to expand... hahaha. mkuu mm vimke vyangu ni vishabiki vya woman united(manure)
MOTOCHINI JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 29,009 Reaction score 35,009 Mar 1, 2015 #6 Wengi wanajiuma kichwani kisha wanakua wamesha elewa kuandika mh wanapita wima
Dragoon JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 7,012 Reaction score 8,146 Mar 2, 2015 #7 eti mashabiki wa chelsea wanawake. kweli, mimi shabiki wa chelsea nina mke, pia kuna mashabiki wa chelsea ni wanawake
eti mashabiki wa chelsea wanawake. kweli, mimi shabiki wa chelsea nina mke, pia kuna mashabiki wa chelsea ni wanawake
007 De Souza JF-Expert Member Joined Feb 19, 2015 Posts 901 Reaction score 486 Mar 2, 2015 #8 Dragoon said: eti mashabiki wa chelsea wanawake. kweli, mimi shabiki wa chelsea nina mke, pia kuna mashabiki wa chelsea ni wanawake Click to expand... jibu safi sana hili mkurugenzi! unatumia Kinywaji gani tafadhari!
Dragoon said: eti mashabiki wa chelsea wanawake. kweli, mimi shabiki wa chelsea nina mke, pia kuna mashabiki wa chelsea ni wanawake Click to expand... jibu safi sana hili mkurugenzi! unatumia Kinywaji gani tafadhari!
Dragoon JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 7,012 Reaction score 8,146 Mar 2, 2015 #9 007 De Souza said: jibu safi sana hili mkurugenzi! unatumia Kinywaji gani tafadhari! Click to expand... Haaaaaa tetethtehteh natumia konyagi mzinga. Kama hauko poa hata viroba tu mkuu
007 De Souza said: jibu safi sana hili mkurugenzi! unatumia Kinywaji gani tafadhari! Click to expand... Haaaaaa tetethtehteh natumia konyagi mzinga. Kama hauko poa hata viroba tu mkuu
G gugo boy Member Joined Feb 17, 2015 Posts 16 Reaction score 0 Mar 2, 2015 #10 Mashabiki wa chelsea wana wake
C Capt Nemo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2015 Posts 1,445 Reaction score 681 Mar 10, 2015 #11 Denicedion said: Ebu niandikie hii sentesi kwa wingi 'MSHABIKI WA TIMU YA CHELSEA ANA MKE Click to expand... kwa wingi???? mshabiki wa timu ya chelsea ana mke mshabiki wa timu ya chelsea ana mke mshabiki wa timu ya chelsea ana mke oooh, utanichosha...ujue na mimi nina mke kama wewe nyumbani!
Denicedion said: Ebu niandikie hii sentesi kwa wingi 'MSHABIKI WA TIMU YA CHELSEA ANA MKE Click to expand... kwa wingi???? mshabiki wa timu ya chelsea ana mke mshabiki wa timu ya chelsea ana mke mshabiki wa timu ya chelsea ana mke oooh, utanichosha...ujue na mimi nina mke kama wewe nyumbani!
Makini Senior Member Joined Dec 23, 2014 Posts 154 Reaction score 59 Mar 10, 2015 #12 BUSTER said: Mashabiki wa timu ya chelsea tuna wake zetu (hatutaki mchepuko) kbabako Click to expand... Very good answer. hahaha
BUSTER said: Mashabiki wa timu ya chelsea tuna wake zetu (hatutaki mchepuko) kbabako Click to expand... Very good answer. hahaha
lad3 Senior Member Joined May 25, 2014 Posts 185 Reaction score 35 Mar 14, 2015 #13 washabiki wa timu ya chelsea wana wanawake
C colene Member Joined Apr 29, 2014 Posts 9 Reaction score 2 Mar 15, 2015 #14 Mashabiki wa chelsea wanawake
Paragumu JF-Expert Member Joined Dec 8, 2014 Posts 326 Reaction score 142 Mar 15, 2015 #15 Mashabiki wa man u,arsenal,liver na man city wake zetu.
yom Member Joined Oct 8, 2014 Posts 9 Reaction score 1 Mar 16, 2015 #16 Paragumu said: Mashabiki wa man u,arsenal,liver na man city wake zetu. Click to expand... na kama unabisha kamuulize fagerson
Paragumu said: Mashabiki wa man u,arsenal,liver na man city wake zetu. Click to expand... na kama unabisha kamuulize fagerson