Uongo au kweli?

Uongo au kweli?

Mashabiki wa timu ya chelsea tuna wake zetu (hatutaki mchepuko) kbabako
 
Wengi wanajiuma kichwani kisha wanakua wamesha elewa kuandika mh wanapita wima
 
eti mashabiki wa chelsea wanawake. kweli, mimi shabiki wa chelsea nina mke, pia kuna mashabiki wa chelsea ni wanawake
 
eti mashabiki wa chelsea wanawake. kweli, mimi shabiki wa chelsea nina mke, pia kuna mashabiki wa chelsea ni wanawake

jibu safi sana hili mkurugenzi!
unatumia Kinywaji gani tafadhari!
 
Ebu niandikie hii sentesi kwa wingi
'MSHABIKI WA TIMU YA CHELSEA ANA MKE

kwa wingi????

mshabiki wa timu ya chelsea ana mke
mshabiki wa timu ya chelsea ana mke
mshabiki wa timu ya chelsea ana mke

oooh, utanichosha...ujue na mimi nina mke kama wewe nyumbani!
 
washabiki wa timu ya chelsea wana wanawake
 
Mashabiki wa man u,arsenal,liver na man city wake zetu.
 
Back
Top Bottom