King Octavian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 403
- 353
Jamani hivi huyu spika wa Bunge kwa sababu gani anatufanyanya watu hatuna masikio? Labda niulize sheria ipi inaulinda huu utaratibu wa kupiga kura kwa sauti bungeni?
Ni wazi kabisa leo wabunge waliosema ndiyoooooo kuunga hoja ya mkosamali wameshinda kwa maana ya kuwa sauti zao zineonekana kusikika sana kwetu sisi tunaofuatilia matangazo haya ya bunge kupitia Television, sasa la ajabu lilinishangaza ni huyu spika kugeuza matokeo tena bila aibu eti Waliosema sioooo wameshinda!! jamani
Mnasemaje wadau utaratibu huu mbona kama unapingana na democracy