Uonevu wa NEC ni bomu linalosubiri kulipuka; Wagombea 10 Upinzani Shinyanga waenguliwa kuwania Udiwani kwa kukosa sifa

Mangapi yamesemwa hadharani na hayajatekelezeka?,mfano alisema kuhusu maiti kuzuiwa hospital kisa madeni, jelimetekelezeka?.

Leo hujasikia kuhusu maiti kuzuiliwa kisa 1m?.
Alisema vyombo vya habari vilivyofungiwa vifunguliwe. Kuna kilichofunguliwa?
Huyu mama naye ni msanii tu. Mwanzo, nilijua kwa sasa tumepata Rsis mcha Mungu, hivyo atakuwa mtetea haki. Kumbe ni wale wale. Na ameshaionja Ikulu akiwa ni Rais kamili, na amenogewa, sidhani kama atakuja kulegeza, kwani atataka uchaguzi ujao naye aupate U-Rais kirahisii kama Mwendazake!
 
Sahihii kabisa
 
Kama hawajui kujaza form tu wataweza vipi kutatuta matatizo ya wananchi,acha waondolewe

USSR
Kama unawatoto wadogo huwezi kusema hivi Ila Kama huna watoto sawa maana unawaandalia watoto wako nchi yenye machafuko.
 
Back
Top Bottom