The 13
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 2,843
- 3,260
Hatuja jingiza ila tuna jadili kitu ambacho kina gusa jamii hilo eneo sio muafaka kwa shughuri za kidi bali kielim.kuna maeneo mengi nje ya chuo(karibu).jengeni kwa nn chuoni?Mimi sijakuambia uwe muislamu na wala sitapinga mtu yeyote wa dini nyingine aje anihubiri ili niingie dini yake kwa sababu Mungu katupa akili ya kutafakari imani ya kweli kwa kutumia akili alizotupatia, dini ya kwelivni ile inayokubaliana na akili sahihi za mtu.
Tuje kwenye mada, ni kwamba, with all due respect, kama ulivyosema wewe sio Muislamu, sasa utawezaje kujadili/kujiingiza katika imani usiyoijua ??, acha waislamu tudai haki zetu na nyinyi mdai zenu, mbona sisi hatuwaingilii katika mambo yenu??.Tafadhalini kaeni pembeni na mshughulike na imani yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app