Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,913
- 141,702
Wanasaka kiki kwa kuwa kiki zote dhidi ya Magufuli zimebuma.
Haya umesomeka mkuu
Sana tena sana.Umeelewa ulichokisoma?
Sana tena sana.
Asante mkuu. Umenikumbusha zamani tukiw watoto, ugomvi ulipotokea.Hongera.
Asante mkuu. Umenikumbusha zamani tukiw watoto, ugomvi ulipotokea.
dawa inawaingia tu,,,,, ukiangalia kamtu kenyewe kanakowanyima hao mabwana usingizi wakiongozwa na mkulu hata hakajai kwenye sahani, lakini moto wake hata wewe unaujua ndio maana unaanzisha sredi za kipuuuzi kuipongeza hiyo serikali ya ccm.
..kinachonishangaza ni lugha ya CHUKI, VITISHO, na UKATILI inayotumiwa na viongozi.
..inawezekana viongozi hawaogopi maandamano, lakini lugha wanazotumia zinaacha maswali mengi na kusababisha wananchi watoe kila aina ya tafsiri ikiwemo KUOGOPA maandamano.
Kuna kipindi waliita Serikali Dhaifu...Wanapenda sana kujipa faraja za kufikirika!
Tokea uweke akili kando unapost vituko na kujihami tu. Hukuwa hivi mkuu.
Asante mkuu. Umenikumbusha zamani tukiw watoto, ugomvi ulipotokea.