Nazani itakua fare kumkosoa MBOWE kwa Uteuzi Huu!kwanza alisema atatuletea kiongozi mwenye kuweza kuendana na kasi za siasa za ushindani,kwahilo silioni hapa.mi nazani anachokiogopa mbowe ni kuteua viongozi ambao watam over shadow,Kama tundu lissu na myika,Siku zote mbowe hataki mwanasiasa mwenye kumkosoa Kama marehemu chacha wangwe na zitto!ametuletea mtu wa ndio MZEE!naona zitadumu fikra zako chadema bila ya mtu mwingine!