Hivi jaman unajua mi naona ipo sawa kabisa
Shule za Kayumba mnazijua au mnazisikia????
Inachotakiwa kila Kundi la shule lishindanishwe na wenzake wa kundi hilo hapo itakuwa sawa
Shule hazina walimu, changamoto lukuki miundombinu mibovu hawachuji hata mtoto mmoja hata kwa kigezo hata uduni kitaaluma, leo ufanye comparison na wazee wa abortion?
Maana kule wanachuja kila uchao
Naona Necta waneanzisha mjadala mpya kwenye sekta ya Elimu na wadau wake