I'm back my dude. Incarceration is no joke. Worst of it all I was put in solitary confinement and that did do well with me. You know how sociable I am. Damn...penitentiary is something else. I can tell you that.
So what's been happening around here?
Kweli kabisa, kuna mzee mmoja tunafanya nae kazi kipindi kile cha "presha" ya samunge mke wake alienda Loliondo. Aliporudi toka huko alimpa masharti mumewe kuwa hampi unyumba mpaka na yeye atakapoenda kupata kikombe! Basi yule Mzee akawa ananihadithia ni jinsi gani yuko kwenye wakati mgumu! na ana miezi kadhaa hajagonga mke wake! Bahati mbaya babu wa loliondo alikuja kupoteza umaarufu kabla mzee Hajaenda samunge! Sikuthubutu kumuuliza kama bado hajapewa mzigo au La!ndoa ni tendo la ndoa, bila tendo la ndoa hakuna ndoa
pole sana a lot has happened here
i dont know where to start....but ukiperuzi peruzi utaona..
honestly i always want to ask this thing...
nimeona most of times unakula ban kwa sababu ya mtu mmoja tu..
now seriously najiuliza what happened?
you and him?
were you friends before?
but you can skip this since i can see you are in a good mood...today..
may be next time you can tell....
Naomba kuuliza waungwana....Hivi katika Ndoa...Mke akimnyima mumewe Unyumba kwa "zaidi ya mwaka"...yaani hawajakutana kimwili...(miezi 15 sasa) .. Hiyo ndoa bado ipo kweli...?
Hakuna ugonjwa wala nini...ni Mke amemkasirikia mumewe tu .. na mume wala hajafumaniwa, na wala hajaenda nje kuchakachua...
Naomba usaidizi wa maoni...
Unajua bana..it's no secret kuwa mimi hapa JF ni celebrity na legend vile vile. Sasa hizo status mbili zinakuja na gharama zake. Na moja ya gharama ni kuwa na grioupies na stalkers. Sasa kuna mtu (Yo Yo) amekuwa akini-stalk kwa muda mrefu sana.
That sucker (Yo Yo) has been peddling some nasty rumors about me. He's been pushing my buttons for a long time. So that day I couldn't take it no more. I went off on him. I knew I was gonna get banned but I didn't care. I just wanted to hit back and I did.
Me and him have never been friends. He wants to be my friend but I don't get down like that. So I think that upset him and decided that he would hound me every chance he gets.
So in a nutshell that's what went down.

What it do birthday gal? I heard you had a humongous birthday bash thrown by none other than Mr desh desh...
Where is my invitation?
Naomba kuuliza waungwana....Hivi katika Ndoa...Mke akimnyima mumewe Unyumba kwa "zaidi ya mwaka"...yaani hawajakutana kimwili...(miezi 15 sasa) .. Hiyo ndoa bado ipo kweli...?
Hakuna ugonjwa wala nini...ni Mke amemkasirikia mumewe tu .. na mume wala hajafumaniwa, na wala hajaenda nje kuchakachua...
Naomba usaidizi wa maoni...
as far as I remember you two (Yoyo na wewe) used to gang up on a certain lady hadi akawa akiwaona anakimbia.. so what happened you guys fell out.. ? Karibu sana. Where is yo yo now?
Yaani unajua mbinu za adui yako, and you still fall for him?
Akijua batani yako, ataipress kila siku.
Hate will consume you. So don't hate. Just celebrate, participate, and congratulate. I missed you too miss lady. I missed you bad.
Mke mwenza kwa mafumbo na nahau nakuaminia. Ila kweli asee mke na mume wakigombana chukua jembe ukalime, wakipatana chukua kapu ukavune bt kwa hawa wenzangu na mie ni too much, miezi 15 hawasameheani tu?..khaa