GE2025 Unyenyekevu wa Wagombea kwa Wapiga Kura kipindi cha Uchaguzi ni Mbinu za Kisiasa na kuwalaghai Wananchi?

GE2025 Unyenyekevu wa Wagombea kwa Wapiga Kura kipindi cha Uchaguzi ni Mbinu za Kisiasa na kuwalaghai Wananchi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Wakuu!

Tupo kwenye joto la uchaguzi mkuu hapa nchini, na tumeona baadhi ya wagombea wakionyesha maisha ya kawaida kwa wananchi ni kama kujishusha na kuishi maisha ya hadhi ya chini.

Hata hivyo, je, wananchi wanawezaje kutofautisha kitendo halisi cha unyenyekevu cha mgombea na propaganda zinazozunguka kwenye kampeni?


 
Uzuri hata wanaodanganywa wanajua.
Leo nimeona msafara mkubwa sana wa chaumma Segerea mtu flani akahoji baadhi inaonekana ugumu wa maisha ndio umewakusanya
 
Back
Top Bottom