Unyenyekevu kwenye ndoa

Nahisi wewe hujawahi kukutana na mwanaume kisirani wasioona hata jema moja kwa wake zao.

Anyway..hapo kwenye red,hivi wanawake peke yao ndio wenye jukumu la kulinda ndoa?
Sijawahi kukutana nao kimahusiano, ila nishashuhudia wanawake wakinyanyasika na wanang'ang'ania hapo hapo as if wamezaliwa nao....hiyo ni kesi nyingine na ninachokiona humu wanawake nadhan sijui mmenisoma juu juu au laah sijasema mwanamke uteseke...uburuzwe wewe upo tu, usiwe na kauli ndani hapana!!! Ndiyo maana nikasema mwanaume asieona unyenyekevu wa mkewe huyo ni tatizo!!! jua nafasi yako itekeleze, jua wajibu wa mke kwenye ndoa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…