Hiii kitu ni ya kukopii...ilianzia kwa chris mauki km sikosei....[emoji13] [emoji13] [emoji13]Hayo urijifunzawap?
Yeees...maana huyo atawafundisha hata watoto wako kujiamini...Myself, I only need a deputy who's loyal. Not a butt kisser, not a yes woman. I go outta line, straight me up how you post to.
Mkuu umesema ukweli ila kuna wanawake hata ungetimiza majukumu bado hata asante hatoiSio kwamba tunashindwa kutoa like ila kinachoshindikana ni kwamba wanaume walio wengi wanashindwa kutimiza majukumu yao kama wanaume, hebu timiza majukumu yako uone kama sijanyenyekea mpaka ushangae
hebu nione kama malkia, sio saa zote kunifokeafokea ntanyenyekea saa ngapi ?
tatizo ni lenu wanaume.
Sio kanuni maana sio sheria kusema mtu ashurutishwe aifuate, wapi umeona kuwa unatakiwa useme yes kwa kila kitu utachoambiwa na mumeo....?Usitake watu wajute kuumbwa wanawake...
Maisha ni kuchagua...
Kama umechagua kuishi atakavyo yeye...sawa ... ila usifanye hiyo kuwa ni kanuni kwa wanawake wote...
wako wanawake wenye maamuzi yao na bado wanaishi na waume zao happily ever after...
Maisha hayajirudii...hadi uishi maisha yako yote ukimfuraihsa fulani....
Rose shoboka anaitwa...sijui km naye anafanya haya au ni kuvutia watu tu waende kwenye semina zake[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Yaap ingawa nimemsikia yule rose wa tuongee mahusiano nikaipenda[emoji4][emoji4][emoji4]
Mbona anafanya muda kuna mwanamke alikua anamshukuru kwa kuokoa mahusiano yake ndiyo kwenye kujua alipata ushauri gani ndiyo akaongelea hiyo, maana bidada ilikua mashindano ndani ya nyumba mwanaume akikaa bar na yeye kesho analipiza yaaan alikua anaenda pasu kwa pasu na mumeweRose shoboka anaitwa...sijui km naye anafanya haya au ni kuvutia watu tu waende kwenye semina zake[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hivi huwa anaitwa rose shoboka???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii a.k.a yake imenichekesha ntamuuliza mdogo ake.Rose shoboka anaitwa...sijui km naye anafanya haya au ni kuvutia watu tu waende kwenye semina zake[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Wewe kwanza uwe mwanaume unayedeserve such a woman. Lasivyo endelea kujiburuza na huyo huyo ndio size yako.Aaaaiseeeee jamn.... Nimpate wap mwanamke kama uyu
Ukiona mwanamke anataka kuwa kichwa, basi tambua kuna mahali umelega mkuu, mkeo ni image yako.Naona likes wanatoa wanaume peke yake
Kwamba wanawake hawajaona hii mada? Au ndo imewagusa na hamtaki kuikubali maana saivi mpo kwenye mchakato wa haki sawa?
Mwanamke akae kwenye nafasi yake na mwanaume kwenye nafasi yake
Unakuta mwanamke anataka kujifanya kichwa cha familia kudadeki ingekua unatak usawa siungepeleka mahari kwetu namimi nipeleke kwenu kwani wazazi wangu hawakunizaa kama wewe ulivyozaliwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanawake msipingane na nature mtazeekea kwenu trust me