Unyanyapaa wa Chadema


ulitegemea wachangie point kwe nye post isiyokuwa na maaana kama hii? This thread is total trush,nipe fanta baridi moja.
 
kudadadeki......, mgomba unarangi gani......majani je?......., unajua prof maji marefu wewe ndie unayewadekeza hawa chadema, wewe uliwachanja chale za makalioni, leo wanakudharau,...........,
 
Mi sipati picha,jinsi nitakavyomuona jk akikabidhi madaraka ya urais kwa dr slaa.nadhan itakuwa kumbkmb ya kipekee.
 
acha uzuzu wewe usitusababishie ban hivyo vyombo unavyovitaja avikushuka kutoka mbinguni vimeundwa na hakuna shaka vimeshaoza jukumu kubwa baada ya kuchukua dola ni kufumua uo uozo na kuvifuma upya hatuwezi kukaa na wachafu watatuchafua
 

TUKUPE Mji?? MAANA HUJASOMEKA
 
nilikurupuka kuchangia ***** wako huu nimegundua your thinking capability is very low kumbe nilikuwa nachangia post ya mpuuzi fulani kwa taarifa yako hii ndio post yangu ya mwisho kwako nahisi unapepopunda
 
Muongozooo muongozoo Mhemishima spika!!!!! muongozooooo, muongozooo mheshimiwa spika, muongoozoooo
Muongoozooo muongozooo Mheshimiwa spika???//////@@#$$ Muongozoooooo, muongozoooooo, nasema muoongozooo
 

sasa hapo makinda sikama alikula matapishi yake?
Hakukuwa na muongozo juu ya muongozo? Kwa naye kumbuka atujuze!
 
Any way; tumejaribu, tumeweza na tunazidi kusonga mbele
 
Hivi wewe dada mbona hueleweki bola ungezaliwa mwanaume, shame on you. fikra zote elekeza zanziibar, hivi wewe mbona zero?
 
Nasikia suala liko mahakamani tayari hivo tusilizungumzie
Mkuu mahakamani unaenda kumshitaki nani maana hata wafanyakazi wa meli wamezama na meli yao labda mmiliki wa meli. HII NDO TANZANIA MAISHA BORA KWA KILA MTU.
 
Mara Wassira aliyekuwa usingizini akaamka na kusema mh. Spika . . . . . . . . . !
 
Mara Wassira aliyekuwa usingizini akaamka na kusema mh. Spika . . . . . . . . . !

yan mi mwenyewe nilimshangaa alipo sema ccm sio sikivu ndio maana twiga wametoroshwa!
 
kuna ki2 nyuma ya chadema ni kibayasana watz wengi hawajuwi,, mwenye nafasi anipigie
 
kuna ki2 nyuma ya chadema ni kibayasana watz wengi hawajuwi,, mwenye nafasi anipigie

Nimefurahishwa sana na wachangiaji wa hii post, this is new way for rubish post.........acha niipiganie CDM iingie ikulu ili nikione hicho kitu kibaya
 
safi sana ukome na mada za kitoto kama hii,ama kweli mmemnyoosha!
 
Duh.. Hii style mpya ya kuwapotezea maboya imekakaa bomba sana..! Big up wachangiaji.. Kwa njia hii itasababisha wafikirie mara mbili kabla ya kupost "mautopia" yao..
 
Absolutely magnificient, JF at its entertaining best! I salute you guys!

Nawapongeza sana wachangiaji wa leo, hasa uzi huu, kwa ubunifu mkubwa na wenye mashiko wa namna ya kujbu hoja za reja reja (pia za kipuuzi) za vijana wa Nape.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…