MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,478
nchi jirani kimeanza kunuka...
Nchi gani
nchi jirani kimeanza kunuka...
Hili ni tukio la kisiasa. Hiki ni kikundi kinachofadhiliwa na CCM kutisha watu Zanzibar. Hii ni mara ya pili wanavamia kituo hiki cha radio Hits Fm. mara ya kwanza ilikuwa ni wakati wa uandikishaji baada ya kituo hicho kuendesha kipindi kinachohoji kikundi hicho kutisha watu kwa mapanga, Bunduki. na silaha zote za jadi. kama wapo juu ya sheria.kilichofuata walivamia kituo hicho na kumtishia kumuaa muendeshaji wa kituo hicho. tena walikwenda hadi na misumeno ya umeme ya kukatia magogo.
TAKBIR...........!!! bado yale mahotel ya watembea uchi.
Waache warumbane wakisjituka tanganyika ishafika mbali kwa maendelei
Hicho kituo kilikuwa cha mrengo gani wa kisiasa au kidini?
Kundi la watu wasiojulikana wenye silaha usiku wa kuamkia leo wameivamia na kuiteketeza kwa moto studio ya kurushia matangazo ya kituo cha radio cha kibinafsi cha Hits FM kilichopo eneo la Migombani, jimbo la Kikwajuni visiwani Zanzibar.