Unusual cloud formation

AD si unamkumbuka yule Babu mtabiri wa Kiama? Alisema Kiama kitaanzia huko kwenu πŸ™‚ ndio maana unaona hiyo unusual formation of clouds na kiama kitakapokuwa kinakaribia (October 21st, 2011) mawingu yatabadilika rangi na kuwa meusiiiiiii na jua litapotea kabisa hivyo mchana hautakuwa na tofauti na usiku hahahahahaha lol!
 
hahahahahahah lohhh
Jamni naona we na SHERRIF ARPAIO
mnafanya kazi nzuri sana ya kunitisha yaani we
hata na terehe umenipa hahahah lol...
naisondoki tutabanana hapa hapa hahahahah lol
 
Reactions: BAK
hahahahahahah lohhh
Jamni naona we na SHERRIF ARPAIO
mnafanya kazi nzuri sana ya kunitisha yaani we
hata na terehe umenipa hahahah lol...
naisondoki tutabanana hapa hapa hahahahah lol

We banana hapo hapo lakini magharika ya kiama yakianza kufanya mavitus yake πŸ™‚ utayakumbuka maneno ya BaK πŸ™‚
 
pande hizo hizo lakini chini chini tuuu...

Aisee nimecheka kishenzi hahahahahah lol duh! Ahsante sana AD....Ni kweli kabisa AD ni pande hizo hizo lakini chini chini tu πŸ™‚
 
We banana hapo hapo lakini magharika ya kiama yakianza kufanya mavitus yake πŸ™‚ utayakumbuka maneno ya BaK πŸ™‚

hahahahahah lolhhh
haina neno tunapokea viama vya aina yote..
so far bado tunahema..... hahahahah lol
ngoja tukisubiri hicho cha mawingu...
hawa ni walinzi wetu eti hivi bado hujajua??
humpback whale πŸ™‚
 
Reactions: BAK
Aisee nimecheka kishenzi hahahahahah lol duh! Ahsante sana AD....Ni kweli kabisa AD ni pande hizo hizo lakini chini chini tu πŸ™‚

hahahaha lohh
nawe ukizidi kukandamiza
kitasomeka kitu kingine hahahah lol πŸ™‚
 
hahahahahah lolhhh
haina neno tunapokea viama vya aina yote..
so far bado tunahema..... hahahahah lol
ngoja tukisubiri hicho cha mawingu...
hawa ni walinzi wetu eti hivi bado hujajua??
humpback whale πŸ™‚

Hilo muhimu sana AD, tuombe Mungu labda yule Babu mpenda kiama anaweza kuwa amekosea tena kama alivyokosea May 21st, 2011
 
Hilo muhimu sana AD, tuombe Mungu labda yule Babu mpenda kiama anaweza kuwa amekosea tena kama alivyokosea May 21st, 2011

Kabisa dear ..
labda hajakosea ..
labda katabiri kihama chake mwenyewe
who knows...... kwa raha zake kwa kweli..
Binafsi namcheka kutu .......... siku yangu naamini kabisa siijui..
na yeye hata kaa aijue no matter what... lolz
 
Kuna wapumbavu wengine waliomuamini Babu Kiama wakaenda kukwangua kwenye bank accounts zao na kumkabidhi yule babu mapesa chungu nzima sasa wanalia maana akiba zao ndio zimeenda na maji na wengine wanafikiria kumfungulia mashtaka....labda anaona kiama chake yeye anadhani ni kiama cha dunia nzima.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…