Ununuzi wa Bombadier na harufu ya ufisadi mkubwa

Ununuzi wa hizi ndege binafsi huwa najiuliza kama kweli hakuna mambo ya aina hii ila ipo siku ukweli itajulikana tu.

Awamu hii imekuwa na miradi ambayo sijui kama huko baadae hayatakuja kuibuka madai kama haya.

Mfano miradi ya huko Chato,ujenzi wa hostel za UDSM,n.k.

Tusubiri muda utaongea.
 
Kuna Harufu ya Ufisadi mkubwa katika Ununuzi wa Bombadier,Ufisadi wa Viwango zaidi ya EPA na ESCROW,Ni suala la muda tu

Ulipaji ulifanyika kwa “Cash” ili kuhalalisha Upigaji
Inawezekana kuna ukweli maana sidhani kama Mkulu alifuata masharti ya ununuzi ya mali ya umma!Huwa anakurupuka tuu nakukwapua pesa hazina kana kwamba yeye ndio afisa ugavi!Ajibu hoja, kwa nini alisema nchi inapesa wakati budget ya mwaka jana ni 34% ndio zimekwenda kwenye miradi ya maendeleo?
 
sikuu moja nikiwa kazini pale solwa shinyanga mlinzi wa mnara aliongea kwa hisia sana
’hakuna lolote hapo kwa yote yanayofanyika,anafanya hivo ili kutupumbaza tu lakini anapigaa,na yeye ni migaji tuu’
nilishangaa sana,ilikuwa miezi mitatu tu baada ya kukalia kiti
leo hii nayasikia kwenye jukwaa hili!!!!
ACHA MUDA UAMUE
 
Kuna Harufu ya Ufisadi mkubwa katika Ununuzi wa Bombadier,Ufisadi wa Viwango zaidi ya EPA na ESCROW,Ni suala la muda tu

Ulipaji ulifanyika kwa “Cash” ili kuhalalisha Upigaji
Seriously, hakuna busara yoyote katika kuandika na kubandika bandiko kama hili without even an iota of evidence. Anyway, anything is possible in this country!
 
Back
Top Bottom