Unrest in Baltimore

Unrest in Baltimore

We unajua hukohuko marekani kuna mitaa mtu mweusi hatakiwi kuonekana licha ya kuishi mitaa hiyo?wazungu hujawajua wewe walivyowabaguzi eti

Nakubali kabisa ni wabaguzi, washenzi kabisa. Ila nilichosema ni kuwa mwandishi aliyesema kuwa hana hatia, hana mamlaka ya kusema hivyo. Mwenye mamlaka ni mahakama. Sisemi hawajamtesa na kumsababishia kifo, la hasha. Most likely wamemtesa, lakini mahakama ndio ya kutoa kauli hiyo.
 
Nawe unakubali kuwa huko Marekani "kuna mitaa mtu mweusi hatakiwi kuonekana licha ya kuishi mitaa hiyo?"
 
Nadhani polisi wametia mgomo hivi wa aina fulani ili kutaka kuonyesha umuhimu wao. Baltimore Orioles na White Sox walikuwa wacheze leo baadaye kidogo si mbali na hapo kwenye varangati, wameamua kuahirisha mchezo.

Imagine police wakatae kwenda kwenye hizi neighborhood .umemwona Yule mama alivyokuwa anamchapa mwanae live.Kusema ukweli sikujua Baltimore black america wapo wengi hivi .Police ni washenzi sometimes
 
  • Thanks
Reactions: BAK
But the thing is, they are just destroying their own community.

So stupid.

Where are they going to buy their alcohol tomorrow?
Kuna mtu yoyote anashangaa kuhusu black Americans .Wanaua kwa 5 dollar hawa .
 
Imagine police wakatae kwenda kwenye hizi neighborhood .umemwona Yule mama alivyokuwa anamchapa mwanae live.Kusema ukweli sikujua Baltimore black america wapo wengi hivi .Police ni washenzi sometimes

Dah!

Yule maza kiboko aisee.

Last edited by a moderator:
Nawe unakubali kuwa huko Marekani "kuna mitaa mtu mweusi hatakiwi kuonekana licha ya kuishi mitaa hiyo?"

perfect, nilikuwa najiuliza kama hutokuja na comment ya namna hii hapa, namsubiri na kiranga
 
Watu weusi sijui nani katuloga . Kweli nashindwa elewa hayo maduka yamahusiano gani na hayo mauaji...
Looters at work
 
Hakuna cha u pro-American hapo wewe.

Ni suala la facts tu.

Ni mitaa gani ya Marekani ambapo weusi hawatakiwi kuwepo?
Hao jamaa utakesha nao, na hakuna hata mmoja atakuja na jina la mtaa hata mmoja.
 
Yup...naangalia hapa na sielewi kabisa kwa nini hakuna watu wa law enforcement.

Hao wahuni nimeona wamevunja duka la CVS, Rite Aid, liquor store, check cashing store....

I mean, polisi wako wapi? Hayo maduka yanahusika nini na kilichomtokea Freddie Gray?

Wanaharibu biashara zinazohudumia community yao wenyewe. Kesho watu wataenda wapi sasa kuchukua prescriptions zao kama CVS na Rite Aid zimevunjwa?

Huyu meya na watu wake wazembe kabisa.

Halafu muda si mrefu giza litaingia na hali itaendelea kuwa mbaya.

Haya, Gavana naye katoa tamko kuwa eti wame activate national guard.....wako wapi hao national guard?

Yaani hovyo kabisa.

Kwani hawana Kova wao? Si uwashairi waje tuwaazime Kova wetu?
 
We unajua hukohuko marekani kuna mitaa mtu mweusi hatakiwi kuonekana licha ya kuishi mitaa hiyo?wazungu hujawajua wewe walivyowabaguzi eti

Hiyo yalikuwa zamani wewe, kuna mtaa/mahali zaid ya capitol/white house?! Wale wangekuwa wabaguzi kiivyo obama asingekuwa anashangiliwa vile mbali nakutoboa kuingia white house
 
Nakubali kabisa, ubagusi upo mkuba.

Zip code huku .Ukikaa zip code hii watoto wako shule waende zip code hiyo .Ukikaa mwananyamala shule hapohapo mwananyamala hakuna kwenda oysterbay unless hiyo shule ni private. .Na private za USA ni Kama college bei ( Angalia shule inaitwa COUNTRY SCHOOL 22,000 dollar kindergarten hiyo per year ) .Chezea USA wewe
 
Back
Top Bottom