Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,988
- 142,388
- Thread starter
- #101
Zip code huku .Ukikaa zip code hii watoto wako shule waende zip code hiyo .Ukikaa mwananyamala shule hapohapo mwananyamala hakuna kwenda oysterbay unless hiyo shule ni private. .Na private za USA ni Kama college bei ( Angalia shule inaitwa COUNTRY SCHOOL 22,000 dollar kindergarten hiyo per year ) .Chezea USA wewe
Sasa hiyo ndo inamaanisha kuwa weusi kuna baadhi ya mitaa hawatakiwi kuwepo?
Wewe unaijua hiyo mitaa?