ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,556
Aston villaAliwapiga akichezea taifa stars au Genk?
Aston villaAliwapiga akichezea taifa stars au Genk?
Hujaeleza kitu chochote hapaEnd of discussion..kama unaangalia hii mechi saivi I think yu no waraimini!
sema aliyewahi kuwa ..kwani ss hv ni mfungaji bora...kwa kifupi samata imebaki story tu...sasa hv ni mchezaji wa kawaida sanaSamatta huyuhuyu aliyecheza tout puissant mazembe, Krc genk, Aston villa, fenerhbache na sasa royal antwerp unamlinganisha na mchezaji wa umiseta? Ili samatta uone kazi yake apate wenzake wa namna yake!
MPENI HESHIMA Mfungaji bora wa CAF, na mchezaji bora ligi ya ubelgiji