mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,507
Duuh...Ninaamini mwanaume hata uwe handsome kama huna hela wewe nyani mjini.
Lord Jesus!!Ninaamini mwanaume hata uwe handsome kama huna hela wewe nyani mjini.
hahahahaha jamanNinaamini mwanaume hata uwe handsome kama huna hela wewe nyani mjini.
safi huo ni mtazamo waku mkuuNatamani mashoga wote wafungiwe mawe wakatupwe bahari ya hindi...
Matusi ruksa.[emoji41][emoji41]
Nimecheka sana 😅😅😅😅😀😀😀Ninaamini mwanaume hata uwe handsome kama huna hela wewe nyani mjini.
Kwani sheria inasemaje mkuu?Sheria ya kupambana na ushoga Tanzania inasema kuwa wafungiwe mawe na watupwe mtoni au wewe unataka kuwa juu ya sheria??au ni ulimbukeni wa kutokujua sheria??Au una kichwa cha wendawazimu?....Naomba ufafanuzi please!!Natamani mashoga wote wafungiwe mawe wakatupwe bahari ya hindi...
Matusi ruksa.[emoji41][emoji41]
Naamini mwanamke ambae hana chura ni dume mwenzangu![emoji41][emoji41][emoji41]Ninaamini mwanaume hata uwe handsome kama huna hela wewe nyani mjini.
Muite @fatume karume aje atoe ufafanuzi mkuu.Kwani sheria inasemaje mkuu?Sheria ya kupambana na ushoga Tanzania inasema kuwa wafungiwe mawe na watupwe mtoni au wewe unataka kuwa juu ya sheria??au ni ulimbukeni wa kutokujua sheria??Au una kichwa cha wendawazimu?....Naomba ufafanuzi please!!
Mimi kwa maoni yangu, naona nyingi ya nchi za Africa hatukuwa tayari kujitawala hatuko civilized na hatuna viongozi wenye upeo.....baadhi ya nchi zikabidhiwe UN izitawale kwa niaba ya wana nchi tutapata basics nzr kama elimu afya shelter uhuru na Amani kuliko kutawaliwa na greedy and ruthless leaders....e.g. Burundi S Sudani Central Africa nk, kubali au kata wazungu ni wastarabu na wana roho nzr kuliko waarabu na sisi wa AfricaHabari Za Weekend Wakuu,
Leo ni zamu ya Unpopular Opinion JF Edition
Toa wazo lako lolote kuhusu maisha, mapenzi, kazi, biashara au JF ambalo unaliamin na kukubaliana nalo ila watu wengi hawakubaliani nalo au Jamii haikubaliani nalo
Haya Twendeeeee
Kuwa mbumbumbu wa sheria haikupi haki ya kuvunja sheria za nchi kama unavyosema kuwa mashoga wote wafungiwe mawe watupwe baharini,huo ni uvunjifu wa sheria zetu pendwa na unatakiwa uadhibiwe mara moja kwa mujibu wa sheria!!Muite @fatume karume aje atoe ufafanuzi mkuu.
Mimi ni mbumbumbu wa sheria.