Mshumaa nyimbo gani hiyo haieleweki, kweli mziki tunauelewa tofauti, Aje na Kadogo ni kali mara kumi ya mshumaa.
Uno ni ngoma kali sana ila nahisi beat ya Uno angeipata mond ingekuwa mara mia ya alivyoifanya harmonize.[emoji16][emoji3][emoji16]
Mond ni mnyama hatari sana, baba lao ni noma aisee, ukicheki video you see the difference,hawa wengine waendelee kujitahidi watafikaga baadae lakini bado sana.[emoji4][emoji4]