Unlocking Knowledge, Empowering Minds

JuaKali

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
776
118
Kama unapenda kujiendeleza tafadhari chunguza MIT Open Course Ware wana offer course mbali mbali. Free lecture notes, exams and videos from MIT. Wana course mzuri sana kutoka semester zilizopita katika fani mbali mbali. Hivyo kazi kwako, hakuna kulala.

gonga hapa kwa habari zaidi http://ocw.mit.edu/OcwWeb/web/home/home/index.htm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom