CDMA modem ina sehemu ya kuprogram na kuweka namba ya simu bila sim card.so zantel ilifika time waliona ni hasara kuwtumia CDMA line kwani zilikuwa ni elfu 10 kwa moja.
Unaweza kuiflash na kuweka line ya sasatel au TTCL tu apa Tz na iwapo utataka tena kutumia zantel inabidi ununue cdma line ya zantel au uipeleke waiprogram tena.uwezi kuiprogram mwenyewe kwani kuna data za kuweka ndani ya modem na nyingine kuziprogram kwenye mtambo wa zantel (switch)
Kama ni huawei long ktk website software zipo free.

Ndugu ebu unaweza ukanipa maujanja ya kunlock hzo FWT za ttcl ninayo ETS1201 nataka ni UNLOCK please..!Mimi sina mchango kwa hilo, ujuzi wangu ni kidogo sana. Ninaweza pia ku unlock TTCL Fixed wireless terminal CDMA? zile simu za mezani lakini wireless. Naombeni msaada wenu wataalamu. Asante.