Unlocking codes za Huawei Y300 ntazipataje?

hata mimi natafuta embu wenye kujua watupe msaada!
 
natafuta codes za kuunlock Simu ya Huawei Y350 nataka itumie line nyingine tofauti na tigo!

Ingekua rahisi hivyo watu wasingeishi kwa kufanya kazi ya kuunlock hizo simu wala wale tigo wasingehangaika kuzilock hizo simu cha msingi nenda kwa wataalam au tafuta humu kuna mtu anafanya hiyo kazi unamtumia imei za hiyo simu na hela anakufungulia
 
Ni hizi za tigo.help please.

zinakuwa specific kwa simu yako tu !

Unaweza kununua online ! Ukapewa na pia vile vile unaweza kupewa code calculator ni kama software utakayoitumia ku calculate codes kwaajili ya wenzio !
Ambao wana tatizo kama lako
Nawe ukawa unapata hela ya kujikimu !

Ila utatakiwa kulipia kiasi fulani cha pesa !
 
Ni hizi za tigo.help please.

hata mimi natafuta embu wenye kujua watupe msaada!

natafuta codes za kuunlock Simu ya Huawei Y350 nataka itumie line nyingine tofauti na tigo!

Ingekua rahisi hivyo watu wasingeishi kwa kufanya kazi ya kuunlock hizo simu wala wale tigo wasingehangaika kuzilock hizo simu cha msingi nenda kwa wataalam au tafuta humu kuna mtu anafanya hiyo kazi unamtumia imei za hiyo simu na hela anakufungulia
 
natafuta codes za kuunlock Simu ya Huawei Y350 nataka itumie line nyingine tofauti na tigo!

Ok, hii kitu inahitaji software kwaajili ya kuunlock. kwa maelekezo ya kawaida ni ngumu.Tafuta semehu wanayohusika na maswala ya kuflash simu, ni kazi rahisi tu isiochukua muda.
 
okey thanks! hivi leigwanan upo Sardalama ama kwa kina Ole Saidumu, Ole Saitoti, Ole Ngavuti na kina Ole Moleimeti?
 
Back
Top Bottom