Line za zantel cdma haziuzwi kama za kawaida nenda ofisini kwao uwaambie nna simu ya cdma nataka line watakuuzia elfu 10
sijawahi sikia.Mkuu ukiachana na hiyo zantel na ttcl. Je kwa hii mitandao mingine hakuna uwezekano wa kupata line ya cdma? Nahitaji kutumia ktk simu ya mezani
sijawahi sikia.
na cost ya cdma kuanzia line hadi vifurushi ni bora ununue tu simu nyengine ya mezani ya gsm
cdma hata uki unlock option ni zantel ndio utakayopata.Zinapatikana maduka gani mkuu?
Coz mimi nina simu ya ttcl ya mezani. Sasa haiko vizuri ktk mtandao. Network yake ni shida kwa eneo nililopo. Ndo mana nimeona nibadili line japo sijajua kama hiyo simu natakiwa kuiflash kwanza au lah.
Wakuu msaada wa ku unlock modem hiz mpya za tgo,huawei e3372. No hizi za 4g lte
inaleta error gani ikigoma?Yap nimeweka line ya airtel imegoma
The device has been locked, contact your isp to obtain your simlock .......afu inatoa kibox cha kuingiza unlock code ......na imenipa ten attemptsinaleta error gani ikigoma?
The device has been locked, contact your isp to obtain your simlock .......afu inatoa kibox cha kuingiza unlock code ......na imenipa ten attempts
Stock ya kwanza ya modem za Tigo walikua hawajazi Lock.niliwahi sikia 3g yake hawajailock, umejaribu kueka line ya kawaida ya 3g? ukieka kunatokea nini?
Nambie Model ya Modem yako?The device has been locked, contact your isp to obtain your simlock .......afu inatoa kibox cha kuingiza unlock code ......na imenipa ten attempts
Njunwa model ni e3372h- 153
The device has been locked, contact your isp to obtain your simlock .......afu inatoa kibox cha kuingiza unlock code ......na imenipa ten attempts