UNLOCK MODEM HUAWEI E153u-2(AIRTEL)

UNLOCK MODEM HUAWEI E153u-2(AIRTEL)

sijui nini

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Posts
2,553
Reaction score
1,292
nimefanikiwa ku unlock modem nyingi tu kwa kutumia unlockers mbalimbali, sasa wanajamvi kama kuna mtu yoyote yule kafanikiwa kwenye hii model hiii...pliz tupeane kaujuzi kidgo wajameni....lah!
 
Ogopa promo ndugu, hiyo kitu wamebadili firmware

You steal, they get new ways to stop stealing! Good try lakini...
 
Ogopa promo ndugu, hiyo kitu wamebadili firmware<br />
<br />
You steal, they get new ways to stop stealing! Good try lakini...
<br />
<br />
na hizi za tigo ni hivyo hivyo na wamezilockia kwenye firmware..
 
Je ni modem ya kampuni ipi ya simu nikinunua na weza ichakachua kiurahisi kwa sasa.
 
Ogopa promo ndugu, hiyo kitu wamebadili firmware

You steal, they get new ways to stop stealing! Good try lakini...
mjomba nchi yenyewe tuu hii ishaibiwa....ijekuwa modem..
 
jamani kwani nyie mnafanyaje ku unlock moderm?????
 
Jalibu kuwasiliana na mimi kwenye facebook, wewe tafuta Ngomasele Enterprisestunachakachua kwa ulaisi tu!hapa ndio bongo
 
Back
Top Bottom