Unlock Mifi Router

Unlock Mifi Router

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,523
Reaction score
14,002
Habari zenu wadau.?

Nina biashara yangu ndogo na inahitaji Internet kwa wateja,nimefunga Mifi Fritzbox Router,Sasa naona matumizi ni makubwa mno ya Data nataka Mifi Router iwe inakubali line za mitandao yote ya SIMU,natafuta mtu wa kufanya unlock(kuchakachua)

Kama unaweza,please nitumie PM au call 0752489529.Nipo Arusha.

Asanteni wote.
 
Back
Top Bottom