Unlock BB Torch 9500

Unlock BB Torch 9500

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,522
Reaction score
14,005
Habari za leo.?
Naomba kujua kuunlock Black berry Torch 9500, ilikuwa inatumika Canada,sasa nataka kutumia kwa line za hapa Tz inaniambia Enter network MEP code. Kwa anayejua msaada please.!
 
Network MEP code huwa inapatikana kutokana na IMEI na MEP number
Fanya hivi ili kupata MEP Number
1. Unganisha simu kwa USB katika PC
2. Install Drivers za simu yako
3. Ifungue MEP Reader kisha bofya Read
Nimeattach MEP reader idownload.
Habari za leo.?
Naomba kujua kuunlock Black berry Torch 9500, ilikuwa inatumika Canada,sasa nataka kutumia kwa line za hapa Tz inaniambia Enter network MEP code. Kwa anayejua msaada please.!
 

Attachments

Back
Top Bottom