Unlimited storage facility and software to protect you against identity theft online

Neema Massawe

Member
Joined
Aug 13, 2014
Posts
44
Reaction score
9
We sale unlimited online storage facility to save and protect your files, documents, pictures, videos, etc. together with encryption software to protect yourself or your business against identity theft (Cybercrime) online at a price of TZS 100,000 per annum.

Both software have been encrypted with 256 bits military grade encryption hence it is the best software you can get in the market for those purposes.

We are located at Makumbusho Bust Terminal & Shopping Complex, First Floor (Above Uchumi Supermarket) Room No FF-04.

Contact: 0772977330
 
Attachments

  • Cloud_Defender.jpg
    Cloud_Defender.jpg
    252.8 KB · Views: 35
Shida itakuwa ni hiyo lugha iliyotumika japo wanunuzi wanaweza kuwa wapo, Watz wengi ni wavivu kusoma kidhungu au hawakijui.
 
Ni kwamba tunauza software ya kuhifadhi data, picha, video, audio n.k. bila kikomo cha gigabytes online. Vilevile inakupa ulinzi wa vitu vyako unavyovihifadhi kwani haviwezi kupotea, kuibiwa, ku crash, kuingiliwa na virus na madhara mengine ambayo utayapata kama ukihifadhi vitu hivyo kwenye flash au external hard drive. Vitu unavyovihifadhi vinakuwa kwenye kompyuta yako.

Software nyingine ambayo inauzwa pamoja na hiyo hapo juu ni software ya kukulinda usiibiwe information zako mtandaoni. Sasa hivi kuna wizi mkubwa wa information za watu mtandaoni kupitia hackers wanaoitwa Keyloggers. Hawa wanajificha kati ya Keyboard na kompyuta hivyo unapo type kwenye sehemu ya kuwekea information zako online (mfano unapotaka ku login kwenye Facebook, email account yako, payment processor kama vile Paypal, au unapotype credit card information zako online ili uweze kununua kitu online) basi wao wanazirekodi halafu wanazitumia kuingilia kwenye facebook account yako na ku post vitu vya kukudhalilisha au vya kitapeli, au kwenye email yako na kuiba information zako, au kwenye Paypal account yako na kuiba pesa zako au kupata credit card namba zako na kuzitumia kuiba kutoka kwenye account yako.

Hawa Keyloggers hawawezi kuzuiwa kwa kutumia anti-virus software kwa sababu hawana standard signature hivyo ni vigumu kuwatambua. Njia pekee ya kujilinda nao ni kutumia encryption software inayoficha information zako unazozitype online hivyo Keylogger hawezi kuzipata bali ataona random numbers ambazo hazina maana yoyote.

Kwa bei ya TZS 100,000 unapata huduma ya hizo software mbili kwa mwaka mzima.
 
Ahsante kwa clarification ingawa mm nilielewa vzr sana.
 
Back
Top Bottom