Unlimited internet

Mkuu hao TTCL wana line za kawaida ..? kama zipo nitazipataje???
 
TTCL wana modem kama za Zantel hazitumii line; na nadhani wanaziuza kwa elfu 29,900/= lakini inakuja na bonus ya elfu 15; Kujiunga na Banjuka inabidi uwapigie simu ttcl customer services ili wakuunganisha Banjuka au wakati unanunua waambie wakuunganishe Banjuka, hii banjuka itabaki mpaka pale ukipiga simu kuwaambie wakuondoe
 
ni wazo tu. si bora ununue bundle ya wajanja night ya vodacom, 1gb kwa tsh500. ikisha unaongeza, so kama una 10,000 manake unapata 20gb. ni ushauri tu, sio kama nnaharibu biashara!
 
mambo ya kusubiri mpaka saa nne majanga
 
Hizo laini za 8gb si ndiyo zile zinazouzwa na modem halafu wajanja wanazibadilisha wanauza na laini za kawaida. Huo mchezo hata wafanyakazi wa voda wanao
 
Kaka hujakosea ila ndio tukifanya ivi ndio tunapata faida. Tunauza mordem also tubauza line kwa kujitegemea ili tupate faida. Kaka kuna ubaya hapo?
 
mwenyezi Mungu akubariki kwa kuwa mkweli. Pamoja kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…