Univesal Mind

Soccrates

New Member
Aug 6, 2012
4
0
Wadau, Vyuo Vikuu pawe mahala pa kuleta mabadiliko, mitazamo mipya ya kimaisha, kuzitumia fikra sahihi za wanafalsafa na kuleta changamoto zitakazoibua mifumo mipya ya kimaendeleo na si sehemu ya makuzi na kuzibwa midomo!
 
nakuunga mkono mia kwa mia!! na hii iwe kwa wote wanaoingia,waliopo na hata wanaotoka!!!!
 
Unavyosema ni sahihi lakini sio practical kwa maana kubadilisha mfumo limi ni vigumu.,cha msingi sis tuanzie hapa JF tuanzishe group lenye mtazamo kama huo,,,,,,,,,,,,,,,,,,upo tayari ?
 
Yap, ndio maana nikadondosha hiyo thread, nikiwa na maana tuanze kutumika kimatendo zaidi...mfano tuanze kufanya tafiti za ukweli na si kukopi na kupesti ili kufanya short cut
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom