Wasomi gani nyie,sisi tunataka mabadiliko nyie bado mnakumbatia chama lililozeeka poor you guys
University Task Force
UNIVERSITY TASK FORCE(UTF)
University Task Force
UNIVERSITY TASK FORCE(UTF)
Hawa ni Wasomi wanaomuunga mkono Dr. John Pombe Magufuli pamoja na ngazi zote za uongozi( ubunge na udiwani)
: Ni wasomi wa kitanzania wanaojitambua,kujielewa na walioamua kukiunga mkono chama chao (CCM) katika mbio za Urais, Ubunge na Udiwani ili kuleta maendeleo na kuondoa changamoto za wananchi katika Taifa letu.
: UTF ina mikakati ya kuwafikia watanzania wa rika zote wanaostahili kupiga kura, kufanya maamuzi sahihi ya kuchagua kiongozi/ viongozi bora,waadilifu,waaminifu, watenda haki,watetea wanyonge na wenye kujali maendeleo ya nchi na kuifikisha nchi yetu pahala panapostahili kimaendeleo.
: Wasomi wote watanzania ruksa kujiunga nasi bila kujali ngazi ya elimu,itikati ya chama chako ila uwe unamuunga mkono Dr. John Pombe Magufuli kwa namna yoyote ile maana wengine wako vyama tofauti lakin wanajua uchapakazi,uadilifu,uteteaji wanyonge wa Magufuli na wenye imani na Dr. John Pombe Magufuli.
: Ukitaka kujiunga nasi,Tu follow Instagram page University_task_forceTwitter page University Task Force@UniversityTF Email.universitytaskforce@gmail.com, WhatSapp +255 655248822
Hawa sio wasomi na wasaka TONGE tu.
Huu usanii wa wasomi uchwara hawa ulikuwa unakomeshwa na rasimu ya Warioba ambapo watu wangepata kazi ziwe DC, RC PS, through merits sio kujipendekeza kwa RAIS. Watu wangeafanya application and interviewed before offered the job.
Ndiyo maana mimi nitaipigia kura UKAWA kwasababu wameniahidi kuniletea katiba mpya inayotokana na maoni yetu.
Siwezi kumpigia kura Magufuli kwasababu anaunga mkono katiba pendekezwa iliyochakachuliwa na ma-CCM