University of Dodoma - Photos !

Hata mimi namsifu kwa KUTEKELEZA( nasahihisha kuanzisha badala yake ni kutekeleza au kufanikisha ujenzi na ukamilifu)! Nimewah kufika pale! Pako vizuri japo mifuko ya jamii ndo ili finance na kuna taarifa bado serikali inadaiwa na mifuko hiyo.
 
mifuko ya jamii wanalia sasa maana hakuna wanafunzi
 
Hata mimi namsifu kwa KUTEKELEZA( nasahihisha kuanzisha badala yake ni kutekeleza au kufanikisha ujenzi na ukamilifu)! Nimewah kufika pale! Pako vizuri japo mifuko ya jamii ndo ili finance na kuna taarifa bado serikali inadaiwa na mifuko hiyo.

Naombe historia ya ujenzi wa Udom, kwa kumbukumbu zangu nskumbuka Mkapa aliondoka madarakani Udom ikiwa tayari inajengwa,
 
Umesahau kusema fedha za ujenzi zilikopwa toka mifuko ya hifadhi za jamii hapa nchini na serikali hairejeshi kulingana na makubaliano kiasi kwamba hali ya mifuko hiyo inakuwa sio nzuri kifedha.
 
Chuo kinauhaba wa wanafunzi kwa sbabu ubanaji wao wa G.P.A ukipata 3.5 UDOM kamshukuru babu yako kijijini...ni wajinga sana wanabana...mtu mzima unatoka na G.P.A za kuchechemea.....
 
Udom ni janga la taifa mkuu bado wanasafari ndefu sana hao jamaa
 
this is what I call "thinking" others are "sinking" in kikwetelism
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…