mka
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 318
- 81
Wadau, katika pita pita yangu kwenye mitandao ya kijamii nikakutana na post moja inaonyesha kuwa University of Dar es Salaam wamecopy website ya University of Cape Town. Tazama mwenyewe University of Cape Town / Welcome na website ya udsm University of Dar es Salaam - Home -
Cha ajabu ukiwa wataka kuperuzi baadhi ya habari university of dar es salaaam hazipatikani kwenye website licha ya kuwa na kitufe kinachoonyesha habari hiyo. Wenzao kila kitu walichokisema kina maelezo yake. Mimi nauliza 1. Kwa mwenendo huu hivi sisi tuna wataalamu au watu wanaotembea na flash disks?
2. Wasomi ambao tunategemea wawe wabunifu kwa maendeleo ya nchi yetu wanacopy copy hadi wavuti, tutafika kweli? Fikiria, Tafakari, Chukua hatua.