University of Dar es Salaam Computing Centre

University of Dar es Salaam Computing Centre

Sitaki kuwa ' Mnafiki ' na wala siwalaumu wale ' Instructors ' wao Mkuu kwani kwa aina ile ya Urembo wa wale Watoto wa Kike halafu na vile walivyokuwa wavivu, wapenda starehe, kula chips katika ile Cafe iliyokuwa jirani yao mkono wa Kushoto, Kupendeza na Kujirahisi Kwao vile kwa Wanaume hata Mimi ' ningewatambalizia ' nao vile vile hadi wangenikoma. Mimi bahati nzuri baada ya kuona nimefanikiwa ' Kumtambalizia ' nao Mkufunzi ( Instructor ) Madam X ( jina Kapuni ) sikuona haja tena na kuhangaika na vile Vitoto ila mara kwa mara nilikuwa nikiviona ' vikibanduliwa ' ndani ya Gari za Vitz na IST huku wengine wakienda ' kubanduliwa ' kwa kule nyuma Bombani karibu na Gereji ya yule Mzee wa Kichagga. Na kuna taarifa nilizipata kwamba kuna Watu fulani wa ' Matibabu ' na ' Upimaji ' walienda pale kupima ' Dally Kimoko Virus / HIV ' na matokeo yao Mkuu utanisamehe tu na naomba niishie hapa tafadhali.
unamjua dali kimoko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ninachojua tu ni kwamba Wanafunzi wengi wa Kike wa hicho Chuo ( UCC ) hasa wale wa ' Campus ' ya Mbezi Beach Makonde mkabala kidogo na Shamo Tower ni warahisi Kukuvulia Chupi hata ukiwapashia tu ' Kiporo ' cha Juzi na maji ya Bombani ya Dawasco. Naomba niishie hapa tafadhali.
"Mkuu unaanza kupotea"
 
Back
Top Bottom