University of Dar es Salaam Computing Centre

University of Dar es Salaam Computing Centre

Nenda hapo wakizingua angaia Mzumbe, udom, SUA kote huko wana IT/Computer science!! ukipata nafasi piga shule acha usupa star!! sio unamaliza hata kutengeza ka website hujui!!!
Sawa vipi chuo cha DIT nacho wanachukua alama gani?
 
Sitaki kuwa ' Mnafiki ' na wala siwalaumu wale ' Instructors ' wao Mkuu kwani kwa aina ile ya Urembo wa wale Watoto wa Kike halafu na vile walivyokuwa wavivu, wapenda starehe, kula chips katika ile Cafe iliyokuwa jirani yao mkono wa Kushoto, Kupendeza na Kujirahisi Kwao vile kwa Wanaume hata Mimi ' ningewatambalizia ' nao vile vile hadi wangenikoma. Mimi bahati nzuri baada ya kuona nimefanikiwa ' Kumtambalizia ' nao Mkufunzi ( Instructor ) Madam X ( jina Kapuni ) sikuona haja tena na kuhangaika na vile Vitoto ila mara kwa mara nilikuwa nikiviona ' vikibanduliwa ' ndani ya Gari za Vitz na IST huku wengine wakienda ' kubanduliwa ' kwa kule nyuma Bombani karibu na Gereji ya yule Mzee wa Kichagga. Na kuna taarifa nilizipata kwamba kuna Watu fulani wa ' Matibabu ' na ' Upimaji ' walienda pale kupima ' Dally Kimoko Virus / HIV ' na matokeo yao Mkuu utanisamehe tu na naomba niishie hapa tafadhali.
Haha ilikua mwaka gan bhana ukatulia madam wetu maana dah!...
 
join instruction zao hata kwenye web hazipo. ngoja na mm nimuandae anko angu asogee hapo
au kwa yyt ambayo anayo afanye kuitupia humu
 
Mkuu Gentamycine, humu jukwaani kuna wataalam wa "probability", inawezekana wakapata jibu! Ni tahadhari tu kwako!

Kwani nimekuambia kuna ambacho nakiogopa? Hivi umeshawahi wapi kuona Mtu wa ' Kanda Maalum ' ya Mkoani Mara ( Musoma ) aliyechanganya na ' Damu ' ya Kitutsi kutoka Rwanda akawa mwoga mwoga?
 
Sitaki kuwa ' Mnafiki ' na wala siwalaumu wale ' Instructors ' wao Mkuu kwani kwa aina ile ya Urembo wa wale Watoto wa Kike halafu na vile walivyokuwa wavivu, wapenda starehe, kula chips katika ile Cafe iliyokuwa jirani yao mkono wa Kushoto, Kupendeza na Kujirahisi Kwao vile kwa Wanaume hata Mimi ' ningewatambalizia ' nao vile vile hadi wangenikoma. Mimi bahati nzuri baada ya kuona nimefanikiwa ' Kumtambalizia ' nao Mkufunzi ( Instructor ) Madam X ( jina Kapuni ) sikuona haja tena na kuhangaika na vile Vitoto ila mara kwa mara nilikuwa nikiviona ' vikibanduliwa ' ndani ya Gari za Vitz na IST huku wengine wakienda ' kubanduliwa ' kwa kule nyuma Bombani karibu na Gereji ya yule Mzee wa Kichagga. Na kuna taarifa nilizipata kwamba kuna Watu fulani wa ' Matibabu ' na ' Upimaji ' walienda pale kupima ' Dally Kimoko Virus / HIV ' na matokeo yao Mkuu utanisamehe tu na naomba niishie hapa tafadhali.


EBU FAFANUA KIDOGO MKUU KWENYE MATOKEO YA HIV
 
GENTAMYCINE KWELI WEWE MTU WA SYSTEM MKUU, UMEFKA HADI UCC HADI NACHINGWEA HUKO.. HADI KUJUA MATOKEO YA H.I.V HADI KUMLA INSTRUCTOR.. UNAPAJUA HADI MADENTI WALIPOLIWA NA MAGARI YALIYOTUMIKA
 
Mimi ninachojua tu ni kwamba Wanafunzi wengi wa Kike wa hicho Chuo ( UCC ) hasa wale wa ' Campus ' ya Mbezi Beach Makonde mkabala kidogo na Shamo Tower ni warahisi Kukuvulia Chupi hata ukiwapashia tu ' Kiporo ' cha Juzi na maji ya Bombani ya Dawasco. Naomba niishie hapa tafadhali.
PROMO!!!
 
Back
Top Bottom