University Admission Results 2020

Wakuu naomba msaada hapa nashindwa kuchagua niende wapi kati ya UDSM-MCHAS (mbeya) na UDOM.. Kote kozi ni DOCTOR OF MEDICINE

Ushauri tafadhali kwa wenye experience
 
Wakuu naomba msaada hapa nashindwa kuchagua niende wapi kati ya UDSM-MCHAS (mbeya) na UDOM.. Kote kozi ni DOCTOR OF MEDICINE

Ushauri tafadhali kwa wenye experience
mkuu we udom wamekujibu leo au
 
Wakuu hii inamaanisha nini

Nimeingia kwenye Account nimekuta wameandika you already have admission
 
WAKUU KWA ALIYECHAGULIWA SUA SECOND ROUND AWEKE SCREENSHOT HAPA
 
kwan hakuna third round mwaka huu au ndiyo round ya mwsho hii
 
Ila Kuna message nimetumiwa kwamba Nina multiple selection ila cjui Ni vyuo gan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…