Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,449
- 2,276
Yes inategemea coz ulisoma pamoja na GPA yako... mm n dip ila nmepata suaBrother mbon Mimi nimepata sua cuhas, na Kuna wengine wamekosa wametoka form six pcb wan div 2 inategemeana diploma umesoma coz gan
diploma ulisomea coz gani na cuhas umechaguliwa cozi ganiBrother mbon Mimi nimepata sua cuhas, na Kuna wengine wamekosa wametoka form six pcb wan div 2 inategemeana diploma umesoma coz gan
huyo itakua MD tuuCoz gan
ulisomea diploma ya niniMnanitisha mm na ka 4.0 kangu[emoji3064]
Coz ipi suaYes inategemea coz ulisoma pamoja na GPA yako... mm n dip ila nmepata sua
Dip umemaliza this year..?Yes inategemea coz ulisoma pamoja na GPA yako... mm n dip ila nmepata sua
Human nutritionCoz ipi sua
2015Dip umemaliza this year..?
ulisoma diploma ya nini na GPA ya ngapi umepata na huko umechaguliwa coz ganinimechaguliwa MUHAS.
ulisomea diploma ya nini
omba mkuu usikate tamaa ungali bado hujajaribu kuomba au tayariTravel and Tourism mkuu
omba mkuu usikate tamaa ungali bado hujajaribu kuomba au tayari
ngoja niingie kwenye mafile nicheki cheki nikipata ntakupa mrejesho hapaBado naomba round 2 kuanzia kesho, course gani unahisi zinaendana na hiyo mkuu kwa ujuzi wako ili nipate mawazo tofauti tofaut
ngoja niingie kwenye mafile nicheki cheki nikipata ntakupa mrejesho hapa
gpa was 4.4ulisoma diploma ya nini na GPA ya ngapi umepata na huko umechaguliwa coz gani
Biomedical chuo gani..?gpa was 4.4
nilisoma engineering, na pale naenda kusoma Biomedical
MUHASBiomedical chuo gani..?
Jamani nina mwanangu kila akiingia kwenye account yake wanahitaji nniView attachment 1597166