Hiyo nayoisema ni ukweli 100%, washaurini ndugu zenu, watoto wenu nk ambao wamesoma diploma, kama una apply chuo basi wajitahidi kutuma maombi kwenye vyuo vingi, kwenye udahili tunachoangalia ni probability, kwa mtu wa diploma probability ya kupata chuo ni ndogo kutokana na nafasi chache zilizopo, njia pekee ni kutanua wigo na kuomba chuo zaidi ya kimoja, kutegemea na hali aliyonayo mfukoni, ikiwezekana aombe vyuo hata vitano ili kuwa na uhakika zaidi.Hyo ni few cases angalia majority ya waliokuwa selected Mimi nimepitia vyuo vingi, so I can agree na alichoandika@cannabis
Sure I agree with youHiyo nayoisema ni ukweli 100%, washaurini ndugu zenu, watoto wenu nk ambao wamesoma diploma, kama una apply chuo basi wajitahidi kutuma maombi kwenye vyuo vingi, kwenye udahili tunachoangalia ni probability, kwa mtu wa diploma probability ya kupata chuo ni ndogo kutokana na nafasi chache zilizopo, njia pekee ni kutanua wigo na kuomba chuo zaidi ya kimoja, kutegemea na hali aliyonayo mfukoni, ikiwezekana aombe vyuo hata vitano ili kuwa na uhakika zaidi.
Uko sahihi kabisaSio longo longo mimi naongelea yaliyo nyuma ya pazia GPA kubwa inasahidia, lakini fact inabaki pale pale nafasi za Diploma ni chache mno kulinganisha na wale waliotoka Form 6, fuatilia trend ni wangapi wanasoma diploma UCC ya Computing and IT na ni wangapi walijaribu kuomba UDSM Computer Science na ni wangapi wanachaguliwa hapo hapo Computer science, kuna mtu mkubwa aliwahi kusema huwa hawataki kabisa watu wadiploma idarani kwao, wanaweka kwa sababu tu ya muongozo wa TCU na Mamagement ya vyuo ndio maana wanaweka nafasi chache. Mtu mwenye diploma ya 4.2 -4.5 GPA anaweza kutemwa wakati mtu mwenye aliyemaliza form 6 n division 2.10 - 2.12 akachaguliwa.
Hiyo nayoisema ni ukweli 100%, washaurini ndugu zenu, watoto wenu nk ambao wamesoma diploma, kama una apply chuo basi wajitahidi kutuma maombi kwenye vyuo vingi, kwenye udahili tunachoangalia ni probability, kwa mtu wa diploma probability ya kupata chuo ni ndogo kutokana na nafasi chache zilizopo, njia pekee ni kutanua wigo na kuomba chuo zaidi ya kimoja, kutegemea na hali aliyonayo mfukoni, ikiwezekana aombe vyuo hata vitano ili kuwa na uhakika zaidi.
Uko sahihi kabisa
Course ya kawaida tu mkuuUyo uliyemsaidia kuapply ni coz gan ulifanya application??
4.7Ulikuwa na GPA ya ngapi..?
4.7 nimepata sua kmcsm cuhasUlikuwa na GPA ya ngapi..?
Brother mbon Mimi nimepata sua cuhas, na Kuna wengine wamekosa wametoka form six pcb wan div 2 inategemeana diploma umesoma coz ganSio longo longo mimi naongelea yaliyo nyuma ya pazia GPA kubwa inasahidia, lakini fact inabaki pale pale nafasi za Diploma ni chache mno kulinganisha na wale waliotoka Form 6, fuatilia trend ni wangapi wanasoma diploma UCC ya Computing and IT na ni wangapi walijaribu kuomba UDSM Computer Science na ni wangapi wanachaguliwa hapo hapo Computer science, kuna mtu mkubwa aliwahi kusema huwa hawataki kabisa watu wadiploma idarani kwao, wanaweka kwa sababu tu ya muongozo wa TCU na Mamagement ya vyuo ndio maana wanaweka nafasi chache. Mtu mwenye diploma ya 4.2 -4.5 GPA anaweza kutemwa wakati mtu mwenye aliyemaliza form 6 n division 2.10 - 2.12 akachaguliwa.
Sua kozi gani.. Na utaconfirm wapi kat ya hvyo4.7 nimepata sua kmcsm cuhas
Duuuh, hatari sanaO LEVEL
Civics..........B
History.......D
Geograph..B
Kiswahili....B+
English.......B+
Physics.......C
Chemistry...C
Biology.......B
Basic Mathematics....C
Amesoma Diploma ya Clinical Medicine amepata GPA ya 4.1/5.0
Na vyuo nilivyomfanyia application mpaka sasa ni vyuo 5, (UDOM (MD), UDSM(MD), MUHAS (MD), KCMC (MD), NA ST FRSNCIS CHA MOROGORO (MD) ),
mpaka sasaivi ndugu yangu uyu hajapata chuo chochote kile, naombeni msaada wenu kwenye second round nitumie njia gani apate chuo, maana tangu jana ameshinda ndani analia tuu msaaada wenu tafadhali
O LEVEL
Civics..........B
History.......D
Geograph..B
Kiswahili....B+
English.......B+
Physics.......C
Chemistry...C
Biology.......B
Basic Mathematics....C
Amesoma Diploma ya Clinical Medicine amepata GPA ya 4.1/5.0
Na vyuo nilivyomfanyia application mpaka sasa ni vyuo 5, (UDOM (MD), UDSM(MD), MUHAS (MD), KCMC (MD), NA ST FRSNCIS CHA MOROGORO (MD) ),
mpaka sasaivi ndugu yangu uyu hajapata chuo chochote kile, naombeni msaada wenu kwenye second round nitumie njia gani apate chuo, maana tangu jana ameshinda ndani analia tuu msaaada wenu tafadhali
ndio mkuuNi kwamba yeye anapenda MD tu basi!?
Angalia kwa umakini katika program capacity kwa SUA (diploma na form 6 ), capacity ya wale wa form 6 utaona trend mara zote ipo juu zaidi ya wale wa diploma, na kuna wakati inafika mpaka mara 3 ya wale wa diploma. Kupata chuo kuna factor nyingi kutokana na watu walioapply lakini mwanzoni kabisa kwa watu wa diploma lazima uelewe capacity huwa ni ndogo na lazima uwe na GPA kubwa ili kuongeza probability ya kuchaguliwa.Brother mbon Mimi nimepata sua cuhas, na Kuna wengine wamekosa wametoka form six pcb wan div 2 inategemeana diploma umesoma coz gan
Huyo kwa kuwa kashaanza kutengeneza professional yake.. Ndo maana anahitaji aiendeleze hyohyo..Ni kwamba yeye anapenda MD tu basi!?
Huyo kwa kuwa kashaanza kutengeneza professional yake.. Ndo maana anahitaji aiendeleze hyohyo..
Sioni vibaya yy kuchagua MD tu kwa kuwa ameshakuwa na diploma yake ila tatizo kubwa ni vyuo ndo vimemuangusha kijana