ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,497
- 126,786
Picha niliyonayo kuhusu wewe, huwa nakuambiaga ila unapotezea. Mimi nyuzi za kisomi zinaumiza ubongo wangu, sitaki kufikiria sana na uzee wangu.Mkuu Eli picha uliyo nayo kuhusu mie haiendani na ukweli..lol.. mimi ni mpole sana..napigaga hata deki-Magufuli 😀😀😉