Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,840
- 31,583
Hello JF,
Mimi sio Msomi ila nawaheshimu hasa watu waliosoma ..its not easy!...
Leo nimeona tuzungumze elimu yetu kutoka only theoretical based mpaka kujumuisha practical....
Mimi huwa nawaza moja ya njia ya kufanya hivyo ni universities kufanya kazi na local communities...
Universities ziwasaidie jamii zinazowazunguka,kutatua maswala yao....
Mimi nilinotice mahali watu wanapewa Zaidi course work na mitihani ni michache,,kwenye mazingira yanayomzunguka
nadhani tunge adopt huu mfumo ingekua vizuri Zaidi,
Tunashirikianaje?
Jamii inapresent swala ambalo ni limekua gumu kulitatua..labda uhaba wa walimu wa science(Mfano tu)
Unawapa hili tatizo wanafunzi ambao may be wamesoma theories za movement za watu ..then wana apply theories in real life setting na kuja na majibu ya hili tatizo…
Mfano mimi kabla sijasepa,nilikua presented na swala la jinsi ya kutumia invehicle systems kama mobile phone inavyosababisha ajali..(Mfano tu)
Moja utakua umeleta solution kwa jamii inayohusika,
Second utakua unamfundisha na kumuandaa kijana ku explore his/her opportunities...
tena hizi course work/project/independent learning iwe mwaka wa mwisho…wanafunzi wawe encourage to stimulate their minds kuanzia mwaka wa kwanza...
Karibuni tujadili elimu yetu,sio kila siku kulaumu, njoeni LOL