[Unity Bridge] These people are not serious

Alpha

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2007
Posts
722
Reaction score
458
I was excited when i heard that a bridge was going to be built. Well, It's CCM so I guess i should have known better. I mean really, some of this stuff is just common sense.


Is Unity Bridge a white elephant?
 
Kwanini mlikuwa mnataka daraja au mnataka usafiri mzuri? Mbona hamshangai kuwa wataaanza kujenga barabara za kwenda mbinguni hapo Dar hivi karibuni?
 
Mustapha Mkulo anachekesha anazungumza kama vile yuko nje ya system. Kwa hiyo wanataka kusema wasingejenda daraja kabla ya kujenga ofisi za uhamiaji? Au wasingejenda daraja kabla ya kujenga barabara?

Mkapa na serikali yake waliamua kufanya daraja iwe priority na project imekamilika. Masha , Mkulo na JK tafuteni priority inayofutia kulifanya daraja liwe na maana sio kukosoa tu.
 
Hiyo kazi kuna taasisi noja ya serikali ndio ilisimamia kwanza mradi mzima katika kuaanda, hayo yote yalikuwemo, lakini utekelezaji wizara ya miundombinu wakadai ndio kazi yao. on sasa wamechemshaaaaaaa
 
It was never a priority. Ujenzi wa daraja ulikuwa ni wa zima moto na ujanja wa ulaji tu. Siasa!
 
uliza fedha ngapi zimetumika kwa kitu ambacho hakitumiki sasa!
 
I was excited when i heard that a bridge was going to be built. Well, It's CCM so I guess i should have known better. I mean really, some of this stuff is just common sense.



Is Unity Bridge a white elephant?
Nawashangaa sana WaTz wenye ufinyu wa kufikiri, ikiwa hata kuji extrapolate kwa miaka 5-10 ijayo.
Wasomi walisema "Rome was not build in a single day".
Hivi hii juhudi ya ujenzi mnaiona au macho yenu yamejaa tope.
By all standards this is a MAJOR MAJOR achievement kwa serikali zetu hizi mbili.
Wengi wenu mnaandika from an observation tower na kushindwa hata kufikiri kimaendeleo kwa muda ujao.
Kama hakuna Police /Immigration so what? watu watavuka tu, tena kwa usalama zaidi.
Kwa taarifa zenu barabara ya Masasi hadi Mangaka inaendelea kujengwa kwa kiwango cha lami. Kilometa 33 zimekwishakamilishwa hadi sasa.
Katika muda wa miaka 3-5 ijayo lami itafika darajani.
Nikiwa Mdau katika masuala ya ujenzi hili ni tukio la kujivunia, wenye kulalamika waendelee wakati wengine wanapasha moto malori yao kuchangamkia biashara kati ya Maputo na Dar.
 
Nimewahi kufika kwenye hilo daraja mwaka juzi. Ni kiasi cha kutengeneza tu njia ya kutoka Masasi kwenda hapo. Na kuweka kituo cha muda cha uhamiaji!
 
Hilo daraja ujenzi wake ni major milestone. hayo mapungufu ya immigration na TRA offices ni minor issues tuu kwani hata gharama yake haifikii roboo ya maamuzii ya ujenzi wa daraja hilo.

ni muhimu kwa serikali zote mbili kuweka miundo mbinu hiyoo (offices and staffs) kabla mwisho wa mwaka huu. Kinachotusumbua katika kupanga ni jinsi ya kupanga na kutekelezaa..Kwa mfano upangaji wa ujenzi wa daraja hiloo na utekelezaji wake ni jambo la mfano wa kuigwaa.
 
Huyo mwandishi wa Citizen ni kilaza, ujenzi au project yoyote huwa kinaangaliwa kitu ambacho ni critical. Kwenye hili swala critical path ni kuvuka mto hayo mambo mengine yanawezekana hata kwa muda wa miezi sita kila kitu kuwepo hapo (immigration, revenue na police) issue ya barabara nzuri ni kujipanga tu.

Yatupasa kujivunia kitu tulichojenga bila ya deni la donors. Tubuni miradi mingine ili na vizazi vijavyo angalau waweze kutushukuru.
 
wanaovuka pale kwa sasa hawahitaji paper work. kwani walipokuwa wanavuka kwa mitumbwi walikuwa wanatumia passport??
 
Nadhani kosa la huu mradi ni kuanza kwake kuanzia serikali ya awamu ya 3. Katika miaka hii 5 ya mwanzo ya JK, kubezwa kwa miradi iliyoanza awamu ya 3 imekuwa kawaida. Hata kama huyo mzee alikuwa na makosa yake, haki yake mpeni!!!
 
i hope this is not written by a kenyan. hata kama hakuna barabara nzuri, bora kitu kimoja kimeanza, kingine kitafuata. unaonaje kama tungekosa vyote?

cha maana alichoongea hapo, ni juu ya customs, immigration and security facilities...kwakweli kama hawajafanya hivyo, wanatakiwa kulishughulikia mapema iwezekanavyo...tz na moz ni nchi mbili tofauti, hatujawa nchi moja hadi watu waingie bila kupitia immigration, sehemu za kodi etc. sijui, labda wameamua kusacrifce kama incentive ya ushirikiano, ni ajabu.
 
So chaotic!!!

Nchi hii tumelogwa, na bado CCM itachaguliwa tena. Sijui inabidi nini kitokee ndiyo tuamuke!! Disgusting!
 

Completely disagree. I think Tanzanians have become so used to incompetence, mis-management, poor planning, etc that they will take any nonsense thrown at them.

When did they start building this bridge 2005? You are trying to tell me there is a reasonable excuse for their not to be immigration and customs facilities in 2010. What have they been doing for the last 5 years, did they think the bridge would never be finished?

You are cutting these people too much slack. Someone should be fired for this but of course in CCM's Tanzania there is absolutely nothing wrong with this picture.
 

As it seems this "brother" lives in an observation tower-complitey cut off from the ground.
You will also be enlightened to know that the Dodoma- Mwanza road, mooted in the early 2000's contruction commenced in 2003.Today, 7 years later it is yet to be completed.
And yet life goes on despite obvious challenges.
Your analogy of failure to construct a police post/Immgratio post being tantamount to failure of the entire project is to say the least absurd, and I am honestly amazed by your lack of objectivity.
 

Duuhhh...........huyu CAG vipi tena...............huu mradi haukushuka kutoka mwezini.............pengine utuonyeshe kuwa uli-u-pick kuwa not viable kwenye ripoti zako huko nyuma...............otherwise kauli zako zinashangaza sana..............


Mkuu asante sana..............hizo barabara kuelekea darajani ni kweli miradi inaendelea......asiyejua ni bora aulize kuliko ku-draw conclusions zisizo na msingi.................
 
Ahh humu JF imeshakuwa upuuzi mtupu. Watu wanacriticize chochote, mabaya sawa na mazuri pia twende! Yani al-mradi tuu wameongea na kuiponda CCM. Sote tunajua matatizo ya CCM or more likely ya Tanzania, ata hao wapinzani ambao as soon as someone speaks of auditing their expenses..anadedishwa, mara sijui nini viongozi hao hao miaka nenda rudi.. Mtu mwenyekiti huyo huyo wachama kwanzia 92 hadi leo..lol Sasa mkimpa Ikulu itakuaje? Inachekesha sana.. Wabongo ni njaa tuu, CCM njaa, upinzani njaa kali.. Tukiwa tunacriticize tuangaliage basi kipi kizuri kipi kibovu.. mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni..
 
Watu wanaongea kama daraja linabomoka baada ya miaka mitano!
Hivi ni watu wangapi wanajenga nyumba lakini wanaweka umeme na maji baadae? Utasema hiyo nyumba haina maana kwa sababu mjenzi hakujipanga na kuweka umeme/maji punde jengo linapomalizika??
Kujenga daraja ndo jambo la msingi hapa, mengine yanafuata, tena ujenzi wake unarahisishwa na uwepo wa daraja.
Ingekua jambo la kushangaza kama zingeanza kujengwa barabara na ofisi kabla ya daraja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…