United Kingdom statement on Zanzibar elections


Teh teh teh!
Kwa hiyo umeishusha Tanzania mpaka kwenye viwango vya Burundi?
 
hivi hizi statement zinatolewa na hawa watu, wao ni kama nani, tz hutoa statement kuhusu chaguzi zao, foolish...

kumbuka wao ndio wanaochangia budget za maendeleo chaguzi pamoja matumizi ya kawaidi nchini bila wao hujiwezi hujiwezi na hapo ndio utajue wao ni kina nani
 
Ubalozi wa Uingereza nchini Tanzania pamoja na Ireland Kaskazini umetoa taarifa ukipinga kufutiliwa mbali kwa matokeo ya Uchaguzi kisiwani Zanzibar.


Ubalozi huo umesema kuwa hauoni sababu za kufutiliwa mbali kwa matokeo hayo ilhali waangalizi walifurahishwa na vile uchaguzi huo ulivyofanyika kwa amani.


Wameitaka tume ya uchaguzi Kiswani Zanzibar kuorodhesha matokeo hayo bila kuchelewa.

Chanzo: BBC Swahili
 
Sisi rafiki yetu wa kweli ni china na russia..hawa nguruwe wengine hawawezi kutuambia kitu.hzo statement wakawatolee akina kagame huko.

Mkiwa mnaenda kuomba wawajengee mabarabara ndo huwa marafiki zenu?
 

This was made in China
 
Hivi hizi statement zinatolewa na hawa watu, wao ni kama nani, tz hutoa statement kuhusu chaguzi zao, foolish...

Unasahau ni asilimia ngapi ya bajeti yetu inawategemea wao??😕😕
 
Vikwazo tu ndo vitawanyoosha hawa jamaa tu.
 
Ngoja Damu imwagike hapa..Tanzania kama misri...KAMA UTAPATA NAFASI YA KUSEMA ....(This made lin china)...Tambua uwoga na uvumilivu wa Watanzania wengi kariibia utafika mwisho....!!!!!!!!!
 
Hivi hizi statement zinatolewa na hawa watu, wao ni kama nani, tz hutoa statement kuhusu chaguzi zao, foolish...

Umesahau mkuu kama hao ndiyo wafadhili wetu kwa kila kitu mpaka chandarua msaada kutoka marekani....
 
Ccm wana wakati mgumu mwaka huu, kuchagua kati ya kukosa misaada au kuipoteza zanzibar.

muungano ndo kila kitu kwa ccm,,bila muungano ccm haipo,,,,kwahiyo hawa wazungu watalalama sana lakini haisaidii,,,
 
Waingereza hawataki kupokea tena wakimbizi kama kipindi kile cha machafuko ya Zanzibar maana wakimbizi wanaotoka huko uarabuni na baadhi ya nchi za ulaya mashariki yamewachosha sasa wanakwepa kuwa hostage wa wazanzibar tena pamoja na kuitakia mema Zanzibar ili amani iendelee hiyo ndio moja ya mitazamo yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…