Mwenyewe nimeshangaa, kwamba hakuwa na taarifa kuwa ,Mez B hatunae kitambo, ila yawezekana coz kun rafik yng yuko states ,sasa katika kupiga nae story, voice call WhatsApp, akawa anakumbushia enz za kina cpwaa ,ndo namwambia huyo keshafarik kitambo, anabak kushangaa ,kwamba hakua na taarifa