Unique academy-information technology elimu yao ikoje?

Masiya

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
7,602
Reaction score
7,344
Kuna hiki chuo cha private ambacho kinatoa courses za NACTE Level 4-6 za Information and Communication Technology.

Ningependa kujua kwa wale wanao kifahamu au wanaowafahamu waliohitimu hapo kama wana shauri mtu aombe hapo ukichukulia ada zao ziko juu (ukilinganisha na vyuo vingine).

Kwa ufupi nataka kujua kama ada ile inaendana na wanachokitoa kwa wanafunzi wao. Nijikite zaidi kwenye certificate na diploma courses (Nimesoma website yao ninachotaka ni maoni ya wadau).
 
OMG hakuna mjuvi wa hiki chuo hapa JF asaidie. Nijaribu tena baadae au nifunge safari hadi hapo chuoni!!!!!
 
Bado nasubiri jibu na wakati ndio huu baada ya results za form 4 kutoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…